Watu wanaenda club wanateketeza $150,000.00...sembuse hiyo $52,000.00....
Watu wanaenda club wanateketeza $150,000.00...sembuse hiyo $52,000.00....
Kutumia Club $150,000.00 inaingia akilini, Abramovich kila anapokwenda anaeleweka kwa high life style yake, lakini a lunch for $52 grands is a bit over the top.
Wewe unatumia kiasi gani?Watu wanaenda club wanateketeza $150,000.00...sembuse hiyo $52,000.00....
Wewe unatumia kiasi gani?
Hicho kiingereza ni cha wapi?Don't worry bout it...I'm doin' it B.I.G.
tumwite awekeze kwenye umeme bongo!
Atakuja kujiletea kwikwi buree. Maana kuna Dowans hapa ndani ya midomo ya watutumwite awekeze kwenye umeme bongo!