Abortion

Najaribu kuunganisha dots juu ya thread zako unazozianzisha kwa siku za hivi karibuni still sipati picha kamili. Kwani kimekusibu kitu gani wewe mtu??

Hebu tujurishe wenzio tukupe mawazo tofauti pengine huenda ikakupunguzia msongo ulionao.
 
Nenda kanisani au msikitini ukatubu maana kwa kuwaza tuu kuua kiumbe ni dhambi, nimesoma hadi nimeogopa Mungu akupe ofu yake
 
Mimi na mke wangu tumehangaika tangu 2009 kutafuta mtoto hakuna kitu. tumeenda kwa madaktar na chunguzi zote zimefanyika juu yetu lakini hakuna kitu...mi nafikiri kasoro ma.vi tu ila dawa zote za miti shamba tumekunywa hakuna kitu. leo Mungu amekujaalia neema ya kiumbe unataka kuitoa......eeeeh Mungu weeeee kwanini kiumbe hicho kinachotaka kuuwawa usikipandikize kwenye tumbo la mke wangu?????
 
Duu Pole sana wasiliana na mimi kwa Private messege nitakupa namba ya Dada yangu mke wako aende kumuona dada yangu kuna bibi mmoja yupo hapo Dare-Salaam anawasaidia wanawake wengi wasioweza kushika mimba. Huyu bibi anatumia Dawa za mitishamba mke wako akijaribu hizo dawa anaweza kushika mimba inshallah.
 
Mimi na mke wangu tumehangaika tangu 2009 kutafuta mtoto hakuna kitu. tumeenda kwa madaktar na chunguzi zote zimefanyika juu yetu lakini hakuna kitu...mi nafikiri kasoro ma.vi tu ila dawa zote za miti shamba tumekunywa hakuna kitu. leo Mungu amekujaalia neema ya kiumbe unataka kuitoa......eeeeh Mungu weeeee kwanini kiumbe hicho kinachotaka kuuwawa usikipandikize kwenye tumbo la mke wangu?????

Ndo maisha yalivyo ndugu yangu,wakati ww una hamu na mtoto huku mwanaume mwingine anakupa stress mpaka unajuta kwanini ulishika huo ujauzito,anakufanya uchukie kiumbe ulichobeba ww mwenyewe..life z so unfair.all in all m wishing u all the best
 
Usimchukie kiumbe kisicho na hatia...mpende usimuue huwezi jua anaweza kubadilisha maisha yako.....
Pole sana na stress ila yeye ni zawadi amekupa mungu ipokee...ni raha sana kuwa mama...
 
Midhal sisimiz tu huwez kumpa uhai itakuwa huyo mtoto utakapomtoa cku akija kudai umpe uhai hapo ndo utakuwa na majuto. Na km ulikuwa huitaki uliibebea nn kuwen na akil. Mnavaa socksi kabla hamjapata kiatu
 
Ndo maisha yalivyo ndugu yangu,wakati ww una hamu na mtoto huku mwanaume mwingine anakupa stress mpaka unajuta kwanini ulishika huo ujauzito,anakufanya uchukie kiumbe ulichobeba ww mwenyewe..life z so unfair.all in all m wishing u all the best
Ni kweli unayoyasema lakini kwa kutoa mimba ya miezı 4 unaweza kutoa na wewe usıdhurike kitu ila Kidini na kibinadamu unakuwa umefanya kosa kubwa la jinai unaweza hata kwenda jela ukijulikana. Itabidi uvumilie tu kwa huyo anaye kupa Stress na ndio aliyekupa hiyo Mimba yako pole sana bibie.
 
Mimi na mke wangu tumehangaika tangu 2009 kutafuta mtoto hakuna kitu. tumeenda kwa madaktar na chunguzi zote zimefanyika juu yetu lakini hakuna kitu...mi nafikiri kasoro ma.vi tu ila dawa zote za miti shamba tumekunywa hakuna kitu. leo Mungu amekujaalia neema ya kiumbe unataka kuitoa......eeeeh Mungu weeeee kwanini kiumbe hicho kinachotaka kuuwawa usikipandikize kwenye tumbo la mke wangu?????

Pole sana Mungu atawajaalia mtapata tu mtoto,endeleen tu kumuomba Mungu.
 
Ndo maisha yalivyo ndugu yangu,wakati ww una hamu na mtoto huku mwanaume mwingine anakupa stress mpaka unajuta kwanini ulishika huo ujauzito,anakufanya uchukie kiumbe ulichobeba ww mwenyewe..life z so unfair.all in all m wishing u all the best

Acha kutenda dhambi ya kuua kisa mwanaume anakupa stress Ndivyo walivyo Hawa watu ww Lea tu mimba Mungu atakusaidia utajifungua salama na Huyo mtoto Ndio atakua Faraja yako,utatoa mimba halafu utajakuja juta badae
 
Unaweza toa mimba ya miezi minne?

Mhhh imenikumbusha 6 years back....nlipata ujauzito...kufikiria tu reaction ya bimkubwa kulitosha kunifanya ninyong, onyee nilipokumbuka kuwa mie mjamzito, marafiki walinishauri niitoe lakini namshukuru Mungu aliyenipa busara ya kutokuongezea dhambi ya kuua baada ya kuzini.
Haikuwa rahisi nilitengwa na watu muhimu but nikakomaa na kitumbo changu..n today kila nikimwangalia my 5 years baby boy najiuliza ningempata wapi kama yeye kama ningetoa hyo mimba.
Hata walionitenga leo wanagombania kumchukua kila likizo.
He is my everything.
Plz Dont kill that poor innocent baby...kuwa responsible kwa kitendo chako.
 
Back
Top Bottom