Abel Magembe-mgombea ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini-CHADEMA

MKINDE

Member
Aug 16, 2012
43
45
sorry this message removed due to some errors that occured during posting this thread. Thanks
 
Hata muheza kuna kamanda anaitwa riziki magembe nae atagombea jimbo la muheza vijijini,kwa sasa anajenga chama hata leo nimemwona jukwaani kijiji cha mafleta katika mkutano wa cdm wakujenga chama
 
Hakika siasa mtandaoni ni u.puz kabisa.....huyu kijana namfaham,shule ya msingi kasoma shule moja iko.bariadi-mashariki kata ya mhunze,O-level Tabora na A-level shinyanga.
Namfahamu hana foundation yoyote ile zaidi ya kufuga nywele tu
 
Hongera zake sana hata kule jimbo la ileje kamanda Dr. shola anaenda kung'oa shishiem mwakani kazi wanayo mafisadi
 
Habari za muda huu ndugu zangu, mimi sina mengi sana ila kauli yangu ni moja tu kama tutaiacha hii nchi iendeshwe na wapenda maslahi ya matumbo yao na kuwaacha vijana hawa wanaojitokeza tena kwa moyo wa dhati kabisa bila hata kuhonga mabilioni ili tu wapate wadhifa fulani basi ipo siku tutakuja kuambiwa tulipie kila hatua tunayopiga ili tu wenye matumbo makubwa wale washibe. BINAFSI NAMPONGEZA SANA KIJANA MWENZANGU ABEL MAGEMBE KWA KUWA NA MOYO WA DHATI KABISA WA KULIOKOA JIMBO LA SUMBAWANGA MJINI. Naombeni tumpe ushirikiano ili tuondoe hili taifa la kujali matumbo zaidi kuliko wananchi wa Tanzania.
CICT MEMBERSHIP CLUB-ST. JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA.: POLITICIAN
Z

CICT MEMBERSHIP CLUB-ST. JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA.: POLITICIAN

Safi kamanda tukutane kura za maoni, nami naingia sumbawanga mjini mwakani tukutane huko
 
Nako jimbo la ileje kuna kamanda anaitwa emmanuel amanyisye mbuba katia nia.kumbe chadema inamajembe kila kona ya nchi hongera chama langu cdm cdm cdm hoyeeeee
 
Hakika siasa mtandaoni ni u.puz kabisa.....huyu kijana namfaham,shule ya msingi kasoma shule moja iko.bariadi-mashariki kata ya mhunze,O-level Tabora na A-level shinyanga.
Namfahamu hana foundation yoyote ile zaidi ya kufuga nywele tu

Basi ni vema ukaenda kugombea wewe.
 
Vijana nawashauri tumieni elimu mliyoipata kutengeneza maisha yenu, mtapoteza muda bure, kwani wengi wenu mnataka kupoteza muda kwa kufikiri kuwa mtapata ubunge lakini nawaonya kuwa maisha siyo hivo...ukamanda mnaoitana ni wa kinafiki lengo lenu ni uroho wa madaraka na mafanikio ya uongo mnayodangaywa. Kuweni makini na kufanywa vyambo katika maisha haya ya Siasa-maduhuli. Tafuteni kwanza uzoefu ili mjue how gvt works. Ili msiende kupayukapayuka huko mjengoni kama wenzenu .
 
Vijana nawashauri
tumieni elimu mliyoipata kutengeneza maisha yenu, mtapoteza muda bure,
kwani wengi wenu mnataka kupoteza muda kwa kufikiri kuwa mtapata ubunge
lakini nawaonya kuwa maisha siyo hivo...ukamanda mnaoitana ni wa
kinafiki lengo lenu ni uroho wa madaraka na mafanikio ya uongo
mnayodangaywa. Kuweni makini na kufanywa vyambo katika maisha haya ya
Siasa-maduhuli. Tafuteni kwanza uzoefu ili mjue how gvt works. Ili
msiende kupayukapayuka huko mjengoni kama wenzenu .

sijakuelewa kwahiyo una maana vijana wasiwe wanagombea ubunge!?
 
Vijana nawashauri tumieni elimu mliyoipata kutengeneza maisha yenu, mtapoteza muda bure, kwani wengi wenu mnataka kupoteza muda kwa kufikiri kuwa mtapata ubunge lakini nawaonya kuwa maisha siyo hivo...ukamanda mnaoitana ni wa kinafiki lengo lenu ni uroho wa madaraka na mafanikio ya uongo mnayodangaywa. Kuweni makini na kufanywa vyambo katika maisha haya ya Siasa-maduhuli. Tafuteni kwanza uzoefu ili mjue how gvt works. Ili msiende kupayukapayuka huko mjengoni kama wenzenu .

Kwahiyo tuwaachie watoto wenu ndio wagombe kwan sisi watoto wa masikini hatuna haki ya kugombea...

Ulicho kiandika kina toa picha ya chalinze kalenga na kule arumeru.
 
Hakuna atakae mshinda Aeishe halfa. Said

Wafipa mmeshindwa kuwasaidiaa wenzenu huyu muaarabu amejitahidi pamoja zengwe mnalo muwekeaaa

Pita kalambo na kwela ni ziro

Swax bila ya mchaga au mhaya kupewa ubungee hakuna kituuu
 
Hata muheza kuna kamanda anaitwa riziki magembe nae atagombea jimbo la muheza vijijini,kwa sasa anajenga chama hata leo nimemwona jukwaani kijiji cha mafleta katika mkutano wa cdm wakujenga chama

soma shule,siasa ina muda wake mkidakwa huko mtaanza kulalamika wakata badala ya kusoma nyie mko kwenye siasa!
 
Back
Top Bottom