Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,229
Kuna watu wa ajabu..kama Taifa kama hili leo hii linamteua mtu aliyechoka akili mtu mzima kwenda kuiwakilisha nchi na watu mnasupport...hii aibu...Je ina maana katika taifa letu hili lenye takribani watu millioni 30 hakuna mtanzania msomi,mwenye kueleweka umri wa wastani ambaye angeteuliwa katika hii nafasi? Vigezo hasa vilivyotumika kumchagua shimbo ni vipi? mnaotetea huu uteuzi mnaweza kutueleza balozi hasa anatakiwa kuwa ni mtu mwenye wasifa gani? au ndio wenye nchi wanapasiana vilivyo vyao, maana CCM wanajichukulia wao kama ndio wenye nchi hii!!
ujitahidi uje uwe rais wetu uwe unateua vizuri.