Abdulrahman Kinana Na Artumas

Mbona sijaona Kinana mahali popote kwenye hiyo site? Hebu weka specific link.

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Abdulrahaman Kinana atangaza kung’atuka rasmi katika siasa .Written by haki | // 0 comments
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana
--
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana ametangaza kung’atuka rasmi katika siasa baada ya kukitumia chama chake kwa miaka 25 akiwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Kamati Kuu (CC) na Kamati ya Maadili. Kinana ambaye amekuwa Meneja wa Kampeni za mgombea urais wa CCM tangu mwaka 1995 ulipoanza uchaguzi wa vyama vingi, alisema kwamba baada ya kutumikia chama katika nyadhifa za juu kwa robo karne sasa, ameamua kupumzika ili kuwaachia vijana waendelee kukijenga chama hicho kikongwe nchini na barani Afrika.
“Nimekuwa Mjumbe wa NEC kwa miaka 25, bila shaka muda huu unatosha, kwani wanaCCM wamenipa heshima ya kuwa katika vikao vya juu vya chama kwa robo karne. Sasa ni wakati wa kung’atuka, nimetoa mchango kwa kadri nilivyoweza katika vikao mbalimbali na katika shughuli nyingi,” alisema. Alisema anaamini kuachana kwake na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea Uchaguzi wa 2015.
“Uongozi ni kupokezana vijiti. Wako wanaCCM wazuri, walio na uwezo mkubwa na sifa za kutosha kuongoza. Nawashukuru wanaCCM na viongozi kwa heshima waliyonipa wakati wote huu,” alisema Kinana ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni wa Rais Benjamin Mkapa kwa vipindi viwili na Rais Jakaya Kikwete kwa vipindi viwili vya uchaguzi. Kinana alisema anajivunia kufanya kazi na marais wote wa Tanzania kuanzia Mwalimu Julius Nyerere hadi Rais Kikwete kwa uadilifu mkubwa na kuheshimiana.
”Ushauri wangu katika vikao umekuwa ukiheshimika sana. Nimekuwa nikiheshimiwa na uongozi wote wa CCM na hata wapinzani nao tunaheshimiana. Nimesimamia kampeni za kistaarabu na ambazo zimeleta ushindi mkubwa kwa CCM tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi,” alisema. Kinana ambaye pia alikuwa Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ameshauri vijana ndani ya CCM watangulize masilahi ya taifa mbele na wasikilize wananchi. Ni muhimu washikamane, wabuni mikakati ya kusaidia kukuza uchumi kwa haraka zaidi na kuendeleza umoja na undugu wetu,” alisema.
Ushauri wa viongozi wapya CCM Kinana alishauri viongozi wapya ambao wanatarajiwa kuchaguliwa ndani ya chama chake, iwapo wataona upungufu wake wausahihishe. “Ni matumaini yangu kuwa watakaopata uongozi wataona upungufu na watasahihisha makosa yangu,” alisema. Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2015, Kinana aliwaasa viongozi wasiwaze nani anafaa kuwa mgombea urais bali washughulikie kero za wananchi.
“Bado tuna kazi kubwa ya kutekeleza Ilani. Tusiwasumbue Watanzania kuwa ni nani anafaa kuwa Rais bali tushughulikie matatizo yao. Kwa sasa ajenda ya CCM ni kutekeleza ahadi zetu katika sekta zote siyo kutafuta nani atakuwa Rais 2015," alisema na kuongeza:
"Hata wapinzani wawaeleze Watanzania yale ambao wamedhamiria kutekeleza. Kueleza upungufu wa CCM ni mtaji mdogo kwa wapinzani, ajenda kubwa ni watafanya nini? Hapa bado wana kazi kubwa. Wanapoona upungufu wasisite kutusema,” Kinana ambaye ana shahada ya uzamili katika utawala na masuala ya sera kutoka Chuo Kikuu cha Harvad nchini Marekani, alisema anatarajia kufundisha na kusoma Shahada ya Uzamivu (PhD) katika moja ya vyuo vikuu vya hapa nchini.
“Baada ya kustaafu kuna mambo mawili ambayo natarajia kufanya. La kwanza ni kuona kama naweza kufundisha. Pili kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vyetu,” alisema. Mbali na nyadhifa zilizotajwa huko juu, Kinana ametumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa muda mrefu na kupanda cheo hadi kufikia Kanali. Amewahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Arusha Mjini
 
Hivi inawezekana kweli kuna mkuu wa jeshi yule aliyesemekana ana trillions SA kutokana na pesa za vita vya commoro na deals nyingine?Halafu ndo huko huko Norway alipopazungumzia Zitto?

Mkuu Nicholas, i told you about Kinana,wote mafisadi tu.

hapa bado biashara ndio inafunguliwa.Naomba Mungu awe amemchokoza E.L game iwe taamu zaidi
 
Halafu hizi deals bado zinaingiwa na makampuni yenye limited shares kulikoni?Na amesaini Professa Muhongo.Hao ni Wentworth Resources Limited,lakini wanasema ni a "publicly-traded on Alternative Market of the London Stock Exchange"
Welcome to Wentworth Resources Limited Wentworth Resources is an independent oil and gas company with gas production and a committed exploration programme in the Rovuma Basin of southern Tanzania and northern Mozambique. The Company and its concession partners own a gas processing plant and a gas receiving plant, and a 27 km pipeline system in Mtwara, Tanzania. Wentworth Resources is publicly-traded on the Alternative Investment Market of the London Stock Exchange (AIM: WRL) and the Oslo Stock Exchange (OSX: WRL).


Special Feature

On Saturday, July 21, 2012, the government of the United Republic of Tanzania officially inaugurated the Mnazi Bay to Dar es Salaam Gas Pipeline Project. This is a very signifcant project for the country and on completion will allow the Mnazi Bay Concession partners and others to transport natural gas to large-scale electricity producers, other industrial users and major population centres in Tanzania.

BTW ile video ya Mrope haipo tena,na sasa naona Kinana kuna namna wameshacheza dili na wanajidai wako pembeni na huku kampuni bado iko Mtwara uko?
 
He used to be a dierctor only, ametoka siku nying mbona. Na hivi sasa hakyna artumans, shirika waneuziwa watu wengine.
 
Haya,hii ndo kampuni ambayo watu wameitumia kulifisadi taifa left right...

The Tanzania Energy and Water Utility Regulatory Authority (EWURA) is reportedly considering granting an exemption to the Artumas Group & Partners that would effectively eliminate the need to acquire the trading licence that is typically required for the generation and transmission of electricity in Mtwara and Lindi regions.

The Artumas Group first began generating electricity in the Mtwara region at the end of 2006 and has been generating electricity in both Mtwara and Lindi through the use of a provisional license since 2007.

The period for the provisional license is set to expire this June, before which time, the group is hoping to acquire a permanent license.

The permanent license, which has been denied by the EWURA since 2008, would allow the group to transmit electricity rather than sell it to the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).


Tanzania Energy Generator Artumas Group Seeks License

Hivi walishapewa hiyo permanent license?Hizo "excemptions" ndo wanazitumia mafisadi,kweli nchi inaliwa na wenye meno.
 
Tuwache uzembe, artumans ilifilisika they are no longr in tanzania. Kinana is no longer a director. Nyinyi hamuezi kumsifu mtu hata kama he is clean. Hii fobia wa jamii tuliyokuwa nayo on anything ccm, itatuacha nyua sana, kwani chuki haiendelezi mtu wal nchi. L
 
Ok,kama kuna wasomaji ambao mlidhani kuwa Kinana hakuwemo kwenye hiyo kampuni,basi chekini hapo chini yaliyotokea!Full link ipo kwenye hiyo forum ambayo nadhani ni kinorweigian kama sikosei,nimepipata at least hii ya kiingereza,kumbe alitemwa?why?Walizidiana?http://forum.hegnar.no/thread.asp?id=1426396

Mr Mudhihir said himself, Mr Abdulrahman Kinana, Mr Arnold Kilewo and Mr Raymond Mrope, were removed from the Board of Directors of Artumas Tanzania last December and that no other members were appointed since then. The MP also advised the government to change the system of collecting revenue from the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), to enable the corporation to retain some money for investment. Mr Mudhihiri who is also the TPDC Board Member said currently all proceeds from TPDC were taken by the Treasury, making it difficult for the corporation to make any investment.

The Government of Tanzania through its Ministry of Finance and
Economic Affairs has confirmed it will provide US$ 7.0 million to
Artumas in the form of a loan to the Company's Tanzanian gas
business, thus providing financial stability to production operations
critical to the generation of power in the Mtwara region. The terms
of this loan are now being documented and will be announced when they
are finalized.

Power Business

The company's small rural electrification project has recently
secured US$ 7.5 million in funding from the Government of Tanzania
allowing for an expansion of distribution facilities which will
substantially increase the customer base and future power revenues.
All long term contractual arrangements for this project have been
signed, including a 20 year Gas Sales Agreement. This agreement
ensures that the power business will have sufficient gas to expand
generation facilities up to a 30MW capacity, with a maximum contract
quantity of 41 bcf at a price of US$ 5.00/mmbtu (constant) over the
life of the contract. Regulatory license and tariff applications
have all been filed. It is anticipated that the regulatory authority
EWURA will provide its approval for the project before the end of 3Q
 
Tuwache uzembe, artumans ilifilisika they are no longr in tanzania. Kinana is no longer a director. Nyinyi hamuezi kumsifu mtu hata kama he is clean. Hii fobia wa jamii tuliyokuwa nayo on anything ccm, itatuacha nyua sana, kwani chuki haiendelezi mtu wal nchi. L
Tulia kwanza usome mkuu,hizo deal ambazo zilishasainiwa na serikali unataka kusema nini?Ni kampuni iliyokuja kuwekeza lakini serikali ikiwamiminia mikopo tu,soma hapo juu!Eti imefilisika,hata kama ni hivyo,tayari watu wameshauza nchi,na pengine hilo la kufilisika ni mojawapo ya dili ili pesa za serikali zisirudishwe,ngoja kwanza nijiridhishe mwenyewe maana naona umekurupa sijui kutoka wapi huko!Tulia mkuu,hii ni JF.
 
naona dots zinaconclude, website zote ziko fugitive!!! LOL

[h=3]Error. Page cannot be displayed. Please contact your service provider for more details. (9)[/h]
 
Tuwache uzembe, artumans ilifilisika they are no longr in tanzania. Kinana is no longer a director. Nyinyi hamuezi kumsifu mtu hata kama he is clean. Hii fobia wa jamii tuliyokuwa nayo on anything ccm, itatuacha nyua sana, kwani chuki haiendelezi mtu wal nchi. L
Mkuu si unaona uwongo wako?Unasema eti imefilisika na wakati wamebadilisha jina na ndiyo hiyo Muhongo ameingia nao dili nyingine?Kumbe ndo maana wanasiasa wanaparurana hawasemi why kumbe ni maslahi yao wanaingiliana?

In September 2010, Artumas Group unanimously voted to change the name of the company to "Wentworth Resources Limited". It currently trades on the Oslo Stock Exchange as "WRL".
http://www.offshoreenergytoday.com/...nges-its-name-to-wentworth-resources-limited/

Chezeya JF wewe,kweli nyie watu ni noma?2010 pesa za uchaguzi kumbe mlijuwa pa kuzitoa?What about 2015?daah!

Halafu baada ya kubadili jina,hawa hapa tena under Muhongo's watch....
Senior Wentworth executives attended a two-day event to inaugurate the pipeline project. Project presentations were given on Friday, July 20, 2012 in Madimba village. On Saturday, July 21, 2012 Honorable Professor Sospeter Mhongo (MP), Tanzanian Minister of Energy and Minerals, led the official groundbreaking ceremony. Also on Saturday July 21[SUP]st[/SUP], the Company co-hosted Permanent Secretary of the Ministry of Energy and Minerals, Eliakim Maswi at the Concession partners' gas processing facilities in Mnazi Bay.
http://www.reuters.com/article/2012/07/23/idUS40923+23-Jul-2012+HUG20120723
 
JMUshi pokea Like maana mobile haina kitu hiyo nimeamini wamemkata Mgawo wa Geneva wa gesi asingetoka patupu
 
Last edited by a moderator:
Halafu tena wameiuzia TANESCO Power Plant,kampuni iliyokuwa ikipewa pesa na serikali...ndo najiuliza kwanini walibadili jina?Yani kutoka Artumas kwenda Wentworth?
SALE OF MTWARA POWER PLANT TO TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY
("TANESCO") Wentworth is pleased to announce that its subsidiary, Wentworth Power Limited, has reached an agreement to sell its 100 percent owned 18MW gas-fired power plant and associated assets (located in Mtwara, Tanzania) to TANESCO for the cash consideration of US$13.5 million. The sale will, upon completion, be effective as of February 7, 2012, and is expected to close on or before March 9, 2012.
Wentworth Resources : Limited : Sale of Mtwara Power Plant to Tanzania Electric Supply Company | 4-Traders
 
Halafu tena wana foundation,eti ya kutusaidia,kazi ambayo ilitakiwa ifanywe na serikali,kweli tuna viongozi,mnaingia mikataba halafu bado mmeingizwa mikenge tu,yani siwapendi ccm basi tu.Director wake yuko huko Dubai.Eti wametoa mchango wa dola laki tatu kusaidia mambo ya neti,madawati na vitabu.Ama kweli sisi watanzania ni wajinga kabisa!

WENTWORTH AFRICA FOUNDATION
 
USIJE UKASHANGAA KINANA ANMWAKILISHA MKAPA PALE ARTUMAS,

UKIANGALIA KWENYE FINANCIAL REPORT YAO AUDETED KIPENGERE NAMBA 20 ,UKURASA WA ARUBAINI NA MOJA WANASEMA WANATEGEMEA TANESCO ILI WAWEZE KUJIENDESHA KIBIASHARA.

"20. Economic dependence
As of December 31, 2007, all of the operating revenues of the Company and paid from Tanzania
Electric Supply Company Limited (“TANESCO”) under an Interim Purchase Power Agreement.
Any failure of TANESCO to fulfill its obligations under the agreement would have an adverse
effect on the Company’s business, financial condition and results of its operations
"


HIVI MWANASHERIA MKUU WA TANESCO NI NANI, NINAWASIWASI NA ELIMU YAKE

Mkuu mwanasheria wa TANESCo ni kampuni ya Rex Artoney mali ya balozi wetu nchini Marekani Mwanaidi Majaar. Hao ndo walishauri TANESCO wavunje mkataba na Dowans wakisema ni kampuni feki na hakuna madhara na wakati huohuo wakitoa recommendations kwa Baclays Bank kuwa Dowans ni kampuni nzuri tu na inafaa kupewa mkopo. Ndo hao hao waliopeleka ushahidi dhaifu kwenye kesi ya Dowans ili Dowans washinde kesi na TANESCO walipe hayo mabilioni, upo hapo?
 
Ukitaka kujuwa kuna "utapeli tapeli" hapa....

[h=2]Company Overview[/h]Wentworth Resources Limited was founded in 2009 and is based in Cayman Islands. As of July 26, 2010, Wentworth Resources Limited operates as a subsidiary of Artumas Group Inc.
Wentworth Resources Limited, Prior to Merger with Artumas Group Inc. does not have any Key Executives recorded.
Wentworth Resources Limited, Prior to Merger with Artumas Group Inc.: Private Company Information - Businessweek

Something's "fishy"
 
SALVATORY NTOMOLA, COUNTRY MANAGER, TANZANIA

Mr. Ntomola holds a BSc in Geology from Makerere University Uganda, and post graduate diploma in Petroleum Geology from Bergen University, Norway. Mr. Ntomola is former Director of Exploration and Production and Deputy Managing Director for TPDC. He is also former Director of Investment Facilitation for Tanzanian Investment Centre. Mr. Ntomola holds extensive working experience with and personal relationships in the governments and the petroleum sectors of Tanzania, Kenya, Uganda, Mozambique and the Comoros.
 
[h=1]Shareholders[/h] [h=2]Significant Shareholders[/h]
ShareholderNo. of Shares% of Issued
Share Capital
McBean Robert P. 7,283,1918.83
Deutsche Bank AG Lon Prime Brokerage Full (NOM)6,752,3078.18
Baluch Issa Shero Mohd Huss4,285,6845.19
Invesco Perp Eur SMA c/o Bank of New York3,916,8174.75
Six Sis AG 25PCT Account (NOM)3,319,6344.02
Skabo Jorgen Heikki 2,507,1973.04
Barclays Capital SEC A/C Cayman Island CL (NOM)2,401,7742.91
Bank Julius Baer & C S/A Client Assets (NOM)2,389,3312.90
Royal Bank of Canada S/A Clients Account (NOM)2,310,0002.80
BNP Paribas SECS SER S/A BP25 Jersey/Hunt2,000,0002.42
Dragonetti John Louis1,946,5762.36
Bank of New York Mel Non-Treaty (NOM)1,699,9142.06
Deutsche Bank AG LON1,521,7611.84
Barton Cameron 1,376,0511.67
ML Pierce Fenner & S S/A MLPF & S HOLD (NOM)1,367,4271.66
Euroclear Bank S.A. 25% Clients (NOM)1,309,1881.59
Sunorca Development1,219,0671.48
DNB NOR SMB VPF868,5841.05
Savannah Energy DMCC861,1341.04
Avanza Bank AB Meglerkonto (MEG)848,2401.03
Last updated on August 25, 2012
[h=2]Director's Shareholdings[/h]
ShareholderNo. of Shares% of Issued
Share Capital
Robert P. McBean7,283,1919.05
John W.S. Bentley322,8090.40
Issa Baluch4,285,6845.32
Cameron Barton1,376,0511.71
Neil B. Kelly527,2150.66
Richard Schmitt00.00
Last updated on August 1, 2012
© 2012 Wentworth Resources Limited | Legal | Sitemap | Group M7 USA
 
[h=1]Mnazi Bay PSA[/h]
LicenseSurface AreaOwnership% Production% Exploration
Mnazi Bay756km[SUP]2[/SUP]Wentworth Resources31.9439.925
Maurel et Prom[SUP]1[/SUP]48.0660.075
TPDC20.00n/a
[SUP]1[/SUP]Denotes Operator
 
Back
Top Bottom