ABCs kuhusu Biashara ya bakery

Mlimani health center

JF-Expert Member
Nov 25, 2021
595
1,416
Wana jamvi hamjambooo


Nawaza tu kufungua bakery hapa nyumbani,kuna pesa nawaza kuifanyia uwekezaji na niko sehem ndo mji umeanza kuja so nadhania kuanza kuanzisha biashara ya bakery

Nawakaribisha mnipe mwongozo
 
Back
Top Bottom