Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Kwako kamanda mwema.tunajua kila mtu anakula urefu wa kamba yake lakini naona sasa hawa ndugu zetu trffic wanaanza kutuchafulia hali ya hewa tanzania..traffic wameanza kuwa more kibiashara barabarani zaidi ya kutumikia majukumu yao waliopangiwa...
Kumezuka wimbi la matraffic kuanza kununua magari na kuanza kupaki pembezoni mwa barabara..akishakukamata anaanza kukutajia pesa anayoitaji kabla ya kuanza kufungua kabrasha lake ati la kulipia faini,,hakika wa kawe wananijua nilishawaambia andiekeni nitalipia mbele vituon na si hapo kw ahapo......hawa mabwana wamekuwa wakikamata magari ovyo kama mmewaachungulia weale wa ubungo mwenge wanaacha kukaa kuongoza jioni magarri kupunguza folen wanakaa pembezoni kukamata m,agari na wengine bila aibu anaingia kwenye gari ya mtua anatoka gari inaondoka huku ni kujizalilisha kama mnashindwa kuwalipa mshahara unaofaa naomba ipo siku watanzania watageuka kama wana HEDARU SAME mtakapojua tumechoka........
Kwanza iwapo unakamatwa na trafic anataka kukupeleka kituoni si ruhusa kupanda gari yako usimruhusu hawa awana undugu zaidi ya Bosi wao Mwema.....jitahdi uendeshapo ujue sheria za barabarani wakati mwingine wanatangaza makosa wala hayapounapojua unawafungua kumbe hivi......
AFANDE MWEMA EMBU BADILISHA KIDOGO TRAFFIC WA DAR WAMEZOA KUPITA KIASI MAGARI YETU TUTAKAPOFIKIA WANAHEDARU UTAKUWA TOO LATE