Aaaaagh………..Mimi sasa uzalendo utanishinda!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Ni wiki ya tatu sasa tangu aende kwao kuwaona wazazi wake hajarudi, na nikimpigia simu ananipiga saundi. Mimi uzalendo utanishinda nitamfuate huko huko maana hawa wanaonitega na Skin Jinzi kifedhuli wanataka kunitia majaribuni, nasema washindwe kwa jina la Yesu. Mama Ngina rudi mwenzio nakuhitaji .……………………..Ohooo, tusije laumiana.

Aiyaaaa, nilisahau kuwa ana wanae humu JF, Mungu aepushie mbali wasije soma hii maneno.
 
bora umfwate ili ushinde majaribu, otherwise utakuja na uzi wa bahati mbaya nimemsaliti mama ngina. the earlier the better.
 
msisitizie arudi haraka bana,kwanza jana nilimuona yule dada anakuomba namba ya simu mi naogopa ujue
 
bora umfwate ili ushinde majaribu, otherwise utakuja na uzi wa bahati mbaya nimemsaliti mama ngina. the earlier the better.
Mungu aepushie mbali...........................
Jiji lina majaribu hili jamani acheni tu!
 
Njoo utibiwe kwa muda............... hahah (joke)!! Ila na we nae umezidi kulia lia bana, na ole wako utoke na house girl!! Lol
 
msisitizie arudi haraka bana,kwanza jana nilimuona yule dada anakuomba namba ya simu mi naogopa ujue
Kumbe na wewe ulimuona eh! mwanamke mbaya yule, sasa si kutaka kunitega jamani.....................
 
loh! shinda majaribu bwana mtambuzi.
mama ngina come back please, usije juuta buree!
 
Njoo utibiwe kwa muda............... hahah (joke)!! Ila na we nae umezidi kulia lia bana, na ole wako utoke na house girl!! Lol
Kumbe wewe humjui mama Ngina, aliondoka na Dada wa kazi.........................Nimebaki na watoto tu, lakini wananitia hofu na jakamoyo kwa kunichunguza nyendo zangu na kila siku wanawasiliana na mama yao wakimwambia muda ninaotoka kwenda kibaruani na muda ninaorudi nyumbani.................yaani wamekuwa FBI.
 
Dah!this is too much!
Si nuimekutuma dukani kununua mkate wa BOFLO hapo kwa Mpemba, sasa hapa umefuata nini sasa..................
Na leo utanitambua na kiherehere chako, na akiyajua haya utanikoma mwaka huu, mtoto mnoko ka nini sijui!
 
Si nuimekutuma dukani kununua mkate wa BOFLO hapo kwa Mpemba, sasa hapa umefuata nini sasa..................
Na leo utanitambua na kiherehere chako, na akiyajua haya unanikoma mwaka huu, mtoto mnoko ka nini sijui!

Waungwana kuna dharura hapa,yoyote atakaenionea Rev Masanilo niitien jaman tunahitaji maombi ya haraka kwan mda c mrefu tutapoteza mzazi hapa!au kwa yoyote mwenye upako wa kutoa mapepo msaada tafadhali!
 
Hivi hapa unamaanisha unasikia wivu mtambuzi, ama ndo majaribu yameanza kukunyemelea hehe pole week tatu tu unaanza kulia akimaliza miezi miwili atakuta babu yetu umeoa ...take care Babu
 
Back
Top Bottom