A.W.O.L (Joni)

Umahiri wake umemponza! Unaambiwa hata kinye chake kilikuwa lulu...unaambiwa hakuna kilichoachwa ndio maana ni ngumu kupata hata maiti yake
Shangaa sasa nyama pembe na viungo vyake vingine vimeenda kufanyia nini
-ndele
-mvuto
-ngekewa
-dawa za nguvu za mwili
-dawa za nguvu za kiume
-dawa za nguvu za kike
Kipaji kimemponza
Aisee kumbe!
 
Bring back our John
your john hapo kwenye picha kwa sasa ameshakuwa unga, walisaga hiyo pembe yake huko china na wanatengenezea dawa za kuongeza urefu wa uuume na shahawa za kichina. ndovu na faru wetu wanauawa kwasababu ya vibamia vya watu wa india na ukosefu wao wa nguvu za kiume kwasababu zaidi ya kutumia kama vinyago, wanatengeneza madawa ya kienyeji ya kuongeza urefu wa uuume na kusimamisha etc.
 
hata mapembe hakuna kuonyesha kama kweli kafa ?
Na nyaraka zipo au zimepotea
 
where is our John?

ahaha ahaha, hii serikali inamaigizo, wauliza maswali utadhani hawakupo serikali iliyopita, yaan like kama wamedondoshwa kutoka mwezini wakaanza kupewa umbea...

ahaha ahahaha h
 
6577f730677473c9843f1cc122c7d6e1.jpg

Mshana jr...nchi hii bado sana...yaani mpaka tujielewe itachukua muda mrefu....can you imagine hata majangili tunaishi nayo vijijini....Ninachozungumza hapa ni kuwa hata maofisini mwetu wezi wanafahamika...Viongozi nao maamuzi yao niyo hivyo tena....ni ajabu na kweli....unafiki ndio uliotawala katika jamii yetu...
 
Kweli wasomi wamegeuka wapigaji
 
So sad
 
Back
Top Bottom