A Timeline of Events in Burundi (Part 1)

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
Chronology of key events:
pre-1300s - Hutu people settle in the region.

_64461153_burundi_refugees2_93ap.jpg
Image copyrightAP
Image captionRefugees flee violence in Burundi, which has seen several episodes of inter-ethnic strife
1400s - Tutsi settlers arrive.

1500s - Distinct Burundian kingdom emerges.

1858 - British explorers Richard Burton and John Speke visit Burundi.

1890 - The kingdoms of Urundi and neighbouring Ruanda (Rwanda) incorporated into German East Africa.

1916 - Belgian army occupies the area.

1923 - Belgium receives League of Nations mandate to administer Ruanda-Urundi.

1959 - Influx of Tutsi refugees from Rwanda following ethnic violence there.

1959-1961 - Independence drive led by cross-communal UPRONA party of Prince Louis Rwagasore, which wins 1961 legislative elections. Prince Louis becomes prime minister but is assassinated shortly afterwards.

Independence
1962 - Urundi is separated from Ruanda-Urundi and becomes independent kingdom of Burundi under King Mwambutsa IV.

1963 - Thousands of Hutus flee to Rwanda following ethnic violence.

1965 - King Mwambutsa refuses to appoint a Hutu prime minister after Hutus win a majority in parliamentary elections; attempted coup put down by army chief Michel Micombero.

1966 July - Mwambutsa deposed by his son, Ntare V.

1966 November - Michel Micombero ousts king, declares himself president.

Massacres and one-party rule
1972 - About 120,000 Hutus are massacred by government forces and their supporters in the wake of a Hutu-led uprising in the south.

1976 - President Micombero is deposed in a military coup by Jean-Baptiste Bagaza.

_64461155_burundi_ndadaye_ntaryamira.jpg
Image copyrightAFP/AP
Image captionMelchior Ndadaye, left, was assassinated and Cyprien Ntaryamira died in a plane crash
1981 - A new constitution makes Burundi a one-party state under UPRONA.

1987 - President Bagaza is deposed in a coup led by Pierre Buyoya.

1988 - Thousands of Hutus are massacred by Tutsis and thousands more flee to Rwanda.

Dashed hopes
1992 - New constitution providing for a multiparty system is adopted in a referendum.

1993 June - Melchior Ndadaye's Frodebu wins multi-party polls, ending military rule and leading to the installation of a pro-Hutu government.

1993 October - Tutsi soldiers assassinate President Ndadaye. In revenge, some Frodebu members massacre Tutsis and the army begins reprisals. Burundi is plunged into an ethnic conflict which claims some 300,000 lives.

_64461160_rwanda_planecrash_ap.jpg
Image copyrightAP
Image captionBurundi's President Ntaryamira and his Rwandan opposite number died when their plane was shot down, triggering the 1994 genocide in Rwanda
1994 January - Parliament appoints Cyprien Ntaryamira - a Hutu - as president.

1994 April - Plane carrying Ntaryamira and his Rwandan counterpart is shot down over the Rwandan capital Kigali, killing both and triggering genocide in Rwanda in which 800,000 are killed.

1994 October - Parliament speaker Sylvestre Ntibantunganya appointed president.

1995 - Massacre of Hutu refugees leads to renewed ethnic violence in the capital, Bujumbura.

Buyoya returns

_64461158_burundi_buyoya_96ap.jpg
Image copyrightAP
Image captionPierre Buyoya seized power twice
1996 - Ex-president Buyoya seizes power.

1998 - Buyoya and parliament agree on a transitional constitution under which Buyoya is formally sworn in as president.

2000 - Government and three Tutsi groups sign a ceasefire accord, but two main Hutu groups refuse to join in.

Transitional government
2001 October - Talks brokered by South African President Nelson Mandela lead to installation of transitional government, but main Hutu rebel groups refuse to sign and fighting intensifies.

2002 January - Jean Minani, leader of main Hutu party Frodebu, elected president of transitional national assembly set up to bridge ethnic divide.

2003 April - Domitien Ndayizeye - a Hutu - succeeds Pierre Buyoya as president, under terms of three-year, power-sharing transitional government inaugurated in 2001.

2003 July - Major rebel assault on Bujumbura. Some 300 rebels and 15 government soldiers are killed. Thousands flee their homes.

2003 November - President Ndayizeye and Hutu rebel group Forces for Defence of Democracy (FDD) leader Pierre Nkurunziza sign agreement to end civil war at summit of African leaders in Tanzania. Smaller Hutu rebel group, Forces for National Liberation (FNL), remains active.

2004 - UN force takes over peacekeeping duties from African Union troops.

2005 January - President signs law to set up new national army, incorporating government forces and all but one Hutu rebel group, the FNL.

2005 March - Voters back power-sharing constitution.

Nkurunziza becomes president
2005 August - Pierre Nkurunziza, from the Hutu FDD group, is elected as president by the two houses of parliament. The FDD won parliamentary elections in June.

National Liberation Forces (FNL)
_56946361_burundi_agathon_rwasa_afp.jpg
Image copyrightAFP
This former rebel group group, led by Agathon Rwasa, officially disarmed in 2008 and transformed into a political party

  • Formed in 1985 as a militant group to protect Hutu population
  • Fought in 1993-2005 civil war
  • Continued to fight until ceasefire deal in 2006
  • Fighters began disarming in 2008
  • Leader Agathon Rwasa was to run for president in 2010 but withdrew and fled
  • Several attacks since 2010 have been linked to FNL
2006 April - A curfew, imposed during the violence of 1972, is lifted.

2006 September - The last major rebel group, the Forces for National Liberation (FNL), and the government sign a ceasefire at talks in Tanzania.

2007 February - UN shuts down its peacekeeping mission and refocuses its operations on helping with reconstruction.

2007 April - DRCongo, Rwanda and Burundi relaunch the regional economic bloc - Great Lakes Countries Economic Community - known under its French acronym CEPGL.

2007 September - Rival FNL factions clash in Bujumbura, killing 20 fighters and sending residents fleeing. Rebel raids are also reported in the north-west of the country.

2007 December - Burundian soldiers join African Union peacekeepers in Somalia.

2008 April - Former head of governing party, Hussein Radjabu, is sentenced to 13 years in prison for undermining state security. Radjabu was accused of plotting armed rebellion and insulting President Nkurunziza.

2008 April-May - Renewed fighting between government forces and FNL rebels leaves at least 100 people dead.

Peace agreement
_64461161_burundi_somalia_g.jpg
Image copyrightGetty Images
Image captionBurundian troops have been part of an African Union peacekeeping mission in Somalia since 2007 and have suffered some casualties
2008 May - Government and FNL rebels sign ceasefire. FNL leader Agathon Rwasa returns home from exile in Tanzania.

2009 March - The Paris Club of creditor nations cancels all of the $134.3m debt Burundi owed to its members.

2009 April - Ex-rebel Godefroid Niyombare becomes first ever Hutu chief of general staff of the army.

FNL lays down arms and officially becomes a political party in a ceremony supervised by the African Union.

Authoritarian moves
2010 June - Presidential election. Nkurunziza re-elected in uncontested poll after main opposition parties boycott the vote and parliamentary polls. They say earlier district elections were rigged, and form a new civil opposition Alliance of Democrats for Change (ADC-Ikibiri). FNL leader Agathon Rwasa goes into hiding.

_84578736_musagabujumburademo_280415_afp.jpg
Image copyrightAFP
Image captionPresident Pierre Nkurunziza's decision to stand for a third term prompted months of protests
2011 November - Rights group says more than 300 people killed in past five months, including opposition party members or members of former rebel FNL; accuse the government of restricting media and political freedom.

2013 June - President Nkurunziza approves new media law which critics condemn as an attack on press freedom. Law forbids reporting on matters that could undermine national security, public order or the economy.

2013 August - The leader of the former rebel FML, Agathon Rwasa, resurfaces after three years in hiding and says he will stand in the 2015 presidential election.

2014 January - Burundi deploys a battalion of troops to Central African Republic, as part of an international effort to prevent a descent into civil war there.

2014 March - Parliament blocks a government attempt to introduce changes to the constitution seen as threatening the balance of power between the country's main ethnic groups.

2014 April - Burundi orders a senior UN official to leave the country after a UN report warns that the government is arming its young supporters ahead of next year's elections, a claim which the government denies.

Third Nkurunziza term

2014 October - Burundian opposition leader Leonce Ngendakumana is sentenced to a year in prison for slander, in what he describes as a political trial ahead of next year's presidential election.

2015 May - Constitutional Court rules in favour of President Nkurunziza's decision to stand for a third term, amid reports of judges being intimidated. Protestors take to the streets and tens of thousands flee the violence. An army officer's coup attempt fails.

2015 June - Electoral commission announces presidential elections will be postponed until July and and parliamentary polls until the end of June, following month of protests. Vice-President Gervais Rufyikiri leaves country after opposing President Nkurunziza's plans for a third term.
 
Aisee, hii ni propaganda ya hali ya juu. Ina maana hakuna matukio yenye tija kwa nchi ya Burundi tangu taifa hili lianzishwe.??
chuki zenu dhidi ya taifa langu ndio zimetufikisha hapa... matatizo ya majirani wetu yakiwashinda huwa wanakuja kuyatua mlangoni kwetu! sasa kuliko kupiga talumbeta na kuandikia mate wakati wino upo, nimeona ingekuwa bora nilete hii time line halafu mnionyeshe bila porojo wala chuki zenu towards Rwanda, bali kwa facts! sasa wewe na wachawi wenzako mngeanza kutuonyesha uhusiano wa Rwanda yetu na haya matukio! tafadhali lakini, porojo pembeni... jMali MALCOM LUMUMBA Bukyanagandi MK254 murutongore Koba Talkandtalk MUKAMASIMBA
 
Uhusika wa mataifa haya mawili ni muingiliano wa makabila ya wahutu na watutsi. Sio uhusiano wa ujirani mwema au kidiplomasia. Chanzo cha matatizo ni kabila moja kutaka kutawala kabila jingine kimabavu.
again, some facts please! otherwise it will be difficult if not "poisonous" for politicians like MALCOM LUMUMBA to unite Burundians once they go back to Arusha...
 
What is happening now in Burundi today is the legacy of Kagame who installed and supported a tiers ethnic division and tension since the Nkurunzinza era. It is divide and rule that the Burundi people have to deal with. Historia ndefu haina nafasi, kinatakiwa ni kusuluhisha matatizo ya leo.!!
... and tittle-tattle award goes to... get out of hear if you can't be objectives on the matter... Burundians needs help, it doesn't matter if a Hutu or Tutsi rule... what you are chattering is bullshit my friend!
 
mchambawima1 iko wapi source ya hii makitu unatujazia server? Najua hupendi lakini ni muhimu. Halafu ukimaliza hii series yako nishtue tafadhali
 
Ndugu yangu Mchambawima kamwe Watanzania hawawezi kumchukia jirani kama Rwanda kama wewe unavyotaka iaminike. Tanzania humu kuna Watutsi na Wahutu wameshika nyazifa kubwa serikalini na wana uzalendo sana tu.

Kitu ambacho wewe unajifanya hukioni ni kutaka kusema what happens in Burundi is merely a political, legal and diplomatic crises. That's not true my friend, Its an ethnic conflict that has been there even before the Split of Ruanda-Urundi. Thanks to the colonialists during that time the demons were kept at Bay.

Sasa baada ya Genocide ya Rwanda mzee wangu ni moja katika Watanzania waliotumwa kuja kusaidia kujenga nchi yako tena. Nimesoma kidogo Rwanda hivyo naifahamu saikolojia ya ndugu zangu wa Kihutu na Kitusi. Aisee mnabaguana sana sana. Bahati nzuri nyingine hadi Mobuthu anatolewa Zaire nlishudia pia baada ya kutoka Rwanda, Kagame and Museveni are really dirty my friend.

Ugomvi kati ya Tanzania na Rwanda na haujaanza leo, tofauti na wewe uanvyotaka tuamini kwamba Rwanda inamikono misafi. Baada ya Mobuthu kutolewa na Kabila kuuwawa kuna Wanajeshi wa Tanzania waliingizwa Congo kwa siri ili kusaidia cha kushangaza Kagame ordered their Killing but kwa bahati mbaya kuna Mzee moja ni alikuwa mwanausalama pale Ubalozini Rwanda hivyo taarifa zilifika DRC haraka na ikawa ndiyo pona pona ya hao wanajeshi.

Ile miscalculation ya Kagame na Museveni ndiyo iliyobadilisha View ya Tanzania Security Community and Political Echelons juu ya Rwanda. Kipindi hicho Kagame aliogopa kufanya ujinga kwasababu Mkapa alikuwa very Brutal na angemfanya chocohote so akawa mdogo. Hivyo siyo kila jambo unalolishwa ndugu yangu unaamini. Haya mambo huwezi kukuta kwenye Blog wala magazeti ya Kikenya wala nini, ila siku fanya utafiti tembelea DRC ndiyo utajionea vizuri haya mambo. Nlikuja kustuka zaidi baada ya kuambiwa Museveni ni mtoto wa Malkia wenu wa kitutsi sema alizaa na mwanaume mwingine nikacheka saaaaaaana saaaaana tena alikuwa ni Congo na aliyesema ni Mtutsi moja hivi mzee jirani yetu.

Kwa hiyo Security Concern za Tanzania siyo chuki dhidi ya Rwanda. Kagame mwenyewe alisema atatu HIT watanzania na hili sisi kamwe hatujilishahau hata siku. Sema tu Watanzania huwa hatupendelei propaganda kwenye mambo ya Security kama Kenya na Rwanda ndiyo maana kuna uchafu mwingi sana wa Kagame na Museveni TISS wanaupotezea tu (ITS A VERY GOOD POLICY).

Acha kutufanya wajinga tusiozijua Rwanda wala Burundi.
Ukanda huu ukichafuka hata Rwanda hamtapona sasa sijui kwanini mnafurahia violence iendelee na roho zisizo na hatia kupotea.

asiee hadi roho inaanza kuniuma! Rwanda ulikosa nini we kijana? hebu niambie ukweli, wanyarwanda wamekufanya nini? hadi uwalipe haya yote? huu ndio utamu wa Rwanda yetu ndogo... ninauhakika ukiniona utanikumbuka tu! hata usiende mbali na kuchanganya vioja hata wewe mwenyewe uwezi kutudhibitishia! nashangaa kuona uko tofauti na baba yako kabisa... tusidanganyane wakati ule pure Tanzanians ambao walikuja na familia zao ni baba yako peke yake MNYAKYUSA (ofisa ubalozini) na kwa jina namuhifadhi kwani ni Mzee mmoja wa kuigwa kwa roho nzuri aliyokuwanayo... naona umeshakua lakini kibaya umeanza kutugeuka, MALCOM LUMUMBA nikitaka kupata data zako ni dakika moja ndani ya hii KGL, lazima nijuwe kilichopelekea utuchukie namna hii na kama kipo basi lazima kikosolewe... kumbuka Rwanda ya kipindi kile shure za kingeleza zilikuwa nafikiri hazizidi hata tatu... lakini wacha kwanza nikupe picha kamili ya mzee wako ambaye tunajuwana kipindi kile mnaishi na kusomea hapa! aliwahi kutuambia eti watoto wake wanasomea KGL, shule ndio siikumbuki vizuri! tulimshangaa kwa nini kafanya hivyo kwani Rwanda enyewe ndio kwa tulikuwa tunaanza kuijenga na kulikuwa na mashule kibao Tanzania ambayo ni bora zaidi... jibu lake lilituacha hoi! ila sio siri, mzee wako ni mtu mzuri sana, alikuwa na marafiki kibao wakinyarwanda waongeao kiswahili hapa jijini, mmoja wapo ni uncle yangu aishie hapa hapa KGL! but with all respect, pombe na mademu vingemmaliza hapa jijini! hizo habari angezitoa wapi wakati ofisi yake ilikuwa Bar na Hotelini? hata kama aliyasema basi dhumuni lake lilikuwa ni ku buy time kusudi abakizwe hapa Kigali... huo ni ujinga unaofanya, wakati unajuwa ukweli! wanao tupakazia na kutuombea vita zisizo isha ni wengi lakini wewe haupashwi kuwa mmoja wao! kwanza nafikiri Mzee aliacha wadogo zenu huku, ngoja ntafuatilia alafu baadae nikufahamishe kwani nawajua ma mistress wake zaidi ya watatu ndani ya hili jiji!lakini wacha tuchukulie kwamba ni ukweli unayoyasema, je nini cha kukushangaza kama hao wanajeshi walikuwa threat kwa Rwanda? wewe usije chezea hata kidogo usalama wa nchi alafu utake kuufananisha na urafiki! we learnt it hard way! kuna kipindi wa Angola waliwahi kutuyeyusha na sie tukawachukulia kama Ndugu tukawapa njia kumbe ni njama walizokuwa wamepanga na Kabila mzee! tukaanza kuonja joto ya jiwe... sasa hapo hakuna cha kulaumiana, heshima ni muhimu sana unapoongelea mambo kama hayo! wewe ulitaka mkwere aboboje namna ile tena kwenye kadamnasi alafu watu wamchekee tu? nakushauri urudi huku kututembelea, ninauhakika ndio utakuwa mwanzo wako wakujirudi na kuanza kumpenda Kagame! kama unakumbuka Rwanda ya kipindi kile (right after the Genocide) ilikuwa hovyo sana! watu walikuwa wapweke, Mtutsi anamwona Mhutu nuksi and vice versa... hivi sasa, weeee! watu wana sura za kutabasamu, yaliyopita hatutaki yaongeze kuturudisha nyuma... kwa kifupi tumeshaonja umuhimu wa amani na ubaya wa chuki! nakuomba pls, tafuta wakati urudi huku atleast utembelee shure uliyowahi kusomea... nakuhakikishia utapigwa na butwaa na hizi story mbuzi zako hautaongeza kamwe...
hiyo timeline mnayo attack sio comments, ni matukio tu na hajasemwa aliyeyafanya lakini vilevile inatusaidia kuelewa matatizo ya ndugu zetu wakirundi.
tisa kumi, hiyo ya Museveni imenimaliza! mwisho kabisa salam nyingi zimfikie mzee wako, tell him peace & love, Kigali misses him!
 
mchambawima1 iko wapi source ya hii makitu unatujazia server? Najua hupendi lakini ni muhimu. Halafu ukimaliza hii series yako nishtue tafadhali
itaisha vipi wakati events zenyewe ndio kwanza zinaanza... utasubuiri hadi miguu izame tumboni jMali source ntakuletea baadae lakini kwanza wacha nijibu inbox zangu...
 
teh teh teh you researched it at last, good. How long did it take.?? I'm just glad I took some of your time. You are the person identifying with your country right.!! If you're patriotic, take my criticism. You don't represent your country, you're representing your tribe. You are just exposed yourself as a murderer of innocents. But I highly doubt you're even speaking the truth. Good luck with your upcoming tribal war, but Nkurunzinza will always be a president of Burundi.
very stupid of you my friend! would prefer to engage when you are sober... but when?
 
asiee hadi roho inaanza kuniuma! Rwanda ulikosa nini we kijana? hebu niambie ukweli, wanyarwanda wamekufanya nini? hadi uwalipe haya yote? huu ndio utamu wa Rwanda yetu ndogo... ninauhakika ukiniona utanikumbuka tu! hata usiende mbali na kuchanganya vioja hata wewe mwenyewe uwezi kutudhibitishia! nashangaa kuona uko tofauti na baba yako kabisa... tusidanganyane wakati ule pure Tanzanians ambao walikuja na familia zao ni baba yako peke yake MNYAKYUSA (ofisa ubalozini) na kwa jina namuhifadhi kwani ni Mzee mmoja wa kuigwa kwa roho nzuri aliyokuwanayo... naona umeshakua lakini kibaya umeanza kutugeuka, MALCOM LUMUMBA nikitaka kupata data zako ni dakika moja ndani ya hii KGL, lazima nijuwe kilichopelekea utuchukie namna hii na kama kipo basi lazima kikosolewe... kumbuka Rwanda ya kipindi kile shure za kingeleza zilikuwa nafikiri hazizidi hata tatu... lakini wacha kwanza nikupe picha kamili ya mzee wako ambaye tunajuwana kipindi kile mnaishi na kusomea hapa! aliwahi kutuambia eti watoto wake wanasomea KGL, shule ndio siikumbuki vizuri! tulimshangaa kwa nini kafanya hivyo kwani Rwanda enyewe ndio kwa tulikuwa tunaanza kuijenga na kulikuwa na mashule kibao Tanzania ambayo ni bora zaidi... jibu lake lilituacha hoi! ila sio siri, mzee wako ni mtu mzuri sana, alikuwa na marafiki kibao wakinyarwanda waongeao kiswahili hapa jijini, mmoja wapo ni uncle yangu aishie hapa hapa KGL! but with all respect, pombe na mademu vingemmaliza hapa jijini! hizo habari angezitoa wapi wakati ofisi yake ilikuwa Bar na Hotelini? hata kama aliyasema basi dhumuni lake lilikuwa ni ku buy time kusudi abakizwe hapa Kigali... huo ni ujinga unaofanya, wakati unajuwa ukweli! wanao tupakazia na kutuombea vita zisizo isha ni wengi lakini wewe haupashwi kuwa mmoja wao! kwanza nafikiri Mzee aliacha wadogo zenu huku, ngoja ntafuatilia alafu baadae nikufahamishe kwani nawajua ma mistress wake zaidi ya watatu ndani ya hili jiji!lakini wacha tuchukulie kwamba ni ukweli unayoyasema, je nini cha kukushangaza kama hao wanajeshi walikuwa threat kwa Rwanda? wewe usije chezea hata kidogo usalama wa nchi alafu utake kuufananisha na urafiki! we learnt it hard way! kuna kipindi wa Angola waliwahi kutuyeyusha na sie tukawachukulia kama Ndugu tukawapa njia kumbe ni njama walizokuwa wamepanga na Kabila mzee! tukaanza kuonja joto ya jiwe... sasa hapo hakuna cha kulaumiana, heshima ni muhimu sana unapoongelea mambo kama hayo! wewe ulitaka mkwere aboboje namna ile tena kwenye kadamnasi alafu watu wamchekee tu? nakushauri urudi huku kututembelea, ninauhakika ndio utakuwa mwanzo wako wakujirudi na kuanza kumpenda Kagame! kama unakumbuka Rwanda ya kipindi kile (right after the Genocide) ilikuwa hovyo sana! watu walikuwa wapweke, Mtutsi anamwona Mhutu nuksi and vice versa... hivi sasa, weeee! watu wana sura za kutabasamu, yaliyopita hatutaki yaongeze kuturudisha nyuma... kwa kifupi tumeshaonja umuhimu wa amani na ubaya wa chuki! nakuomba pls, tafuta wakati urudi huku atleast utembelee shure uliyowahi kusomea... nakuhakikishia utapigwa na butwaa na hizi story mbuzi zako hautaongeza kamwe...
hiyo timeline mnayo attack sio comments, ni matukio tu na hajasemwa aliyeyafanya lakini vilevile inatusaidia kuelewa matatizo ya ndugu zetu wakirundi.
tisa kumi, hiyo ya Museveni imenimaliza! mwisho kabisa salam nyingi zimfikie mzee wako, tell him peace & love, Kigali misses him!

Bwahaaa Bwahaaaa Bwahaaaa!!!!
Nitake radhi kwanza mimi siyo Mnyakyusa, yakhhhhh!!!
Wanyakyusa nao wakabila balaaaa.
Wewe usiwe kichaa, yanini kumtukana Mzee Mwambingu wa watu sasa hivi?
Mwambingu si alikuwa afisa Ubalozi pale?
Watoto wake ni kina Richard ni Mwanajeshi JWTZ now, Mwingine kama sikosei anaitwa Steven. Hebu mwache mzee wa watu keshastaaafu saa hizi.

Kukurahisishia kabisa baba yangu amesoma Military Academy moja na huyo Kagame and they are good friends. Unamjua wewe???
Sisi hatukuja Rwanda kwenye balozi, na Watanzania wengi tu walikuja sana Rwanda kipindi kile. Dhumuni ilikuwa ni kumtoa Mobuthu hivyo wewe si lazima uwajue wote.

Wanyarwanda hamna roho ya shukrani hata kidogo,
Nakumbuka kuna rafiki zangu wengi walienda Monduli TMA kusoma na Tanzania ilijitoa sana.
Wengine wakaja UDSM kusoma buree kabisaaa.
Hata kagame kafundishwa pale Morogoro bure kabisa, Museveni ndiyo usiseme kasomea kodi zetu hata shukrani hana. Hivi mna roho gani ndugu yangu???

Na ishu ya Angola na Zimbabwe unajua ilikuwaje?
AU ndiyo kulishwa magaka na wewe unayapokea tu?
Mimi niliishuhudia wakati niko Lubumbashi.
Mataifa ya nje yaliwasaidia sanaaa sanaaaa.

Ila Mchambawima unanichekesha sana, kwa hiyo hizo SCUD na V2 rockets ambazo Kagame amepewa ndiyo unadhani zitailinda Rwanda????
 
itaisha vipi wakati events zenyewe ndio kwanza zinaanza... utasubuiri hadi miguu izame tumboni jMali source ntakuletea baadae lakini kwanza wacha nijibu inbox zangu...
Kwa sababu ni ngumu saaana kuleta source? Okay bwana nitasubiri kama jux
 
Duh! a small country but with so much history of forlornness and death. I am going through the series one by one.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom