A Poor President - Only owns a Voxwagen

Tutaendelea kuwasifia wa wenzetu ilhali wa kwetu huku kutwa kiguu na njia
 
Hivi mwalimu nyerere alikuwa na gari lake binafsi ukiachia baiskeli ya swala?
 
Hilo ni swala la nafsi zaidi na jinsi mtu alivyokua,dont you know that a child became what he/she lives.
 
Huu ni utashi wa mtu ...kutoa 90% ya salary au kuendesha Beetle. Sio sign ya Kiongozi bora

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom