A New Ladies undewear shop opened recently in Zanzibar

Mchungaji nashukuru sana kwa kutupa taarifa za duka hilo na mimi ngoja nikamchukulie moja mama Khadija!!!
 
mmmmhh afadhali hata umekuja kunikomboa..
mie hiyo ya tatu kutoka kushoto au ya pili kutoka kulia ndo nataka...
size mmmhhhh ntakuacha utumie ufundi wako hapo lol
usiniangushe hahahahh lol

Sawa sawa unataka rangi gani sasa?
 
Back
Top Bottom