A New Constitution = New Kenya , its time for Tanzania!

nomasana

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
1,784
1,467

These are the fruits of a new constitution.

if Kenya can do it, then Tanzania can do even more and change East Africa.
 
Last edited by a moderator:
Aisee nomasana kwanza mwambie huyo jamaa yako (mweusi kama mkaa) hayo mawigi huko bungeni yamepitwa na wakati. Inaonyesha ni jinsi gani kasumba ya mwingereza bado imewatawaleni. Tunawangojeni uchaguzi ujao mchinjane tena kwa ukabila manaake nyinyi wakenya bado hamjastaarabika, trust me!
 
Ingekuwa ustaarabu ndio maendeleo basi Tanzania ingekuwa imeendelea sana. Nakuhakikishia hapa kuwa 2012 hakuna damu itamwagika, Katiba yetu na election comission na ICC haitoruhusu tena umwagikaji wa damu. Tushapitia hiyo sasa tuko kwenye highway ya maendeleo, I pity people like you who cant take advice or copy and improve on a good idea. Tanzania itatawalwa na CCM kwa sababu ya Ubishi, majivuno yasio na msingi, blaa blaa, kutosoma na upumbavu wa watu kama wewe wasiojua kukaa ndani ya mada. y'all need change son

P.S
unamtukana spika wangu, one of the best speakers we have ever had? hembu angalia achievement zake kwenye current parliament na decision ambazo amepataka ku make akiwa kwenye kiti na hii fickle goverment yetu, utamdharau speaker wako milele.
Najua mlimpigia Kura Kikwete kwa kuwa ni handsome, angalia Kibaki na sura yake mbaya anvyotuletea maendeleo ingawa hatumpendi, wacha tuwe na watu wetu wenye sura mbaya na nyie mbaki na ma handsome leaders wenyu muone kama in future watoto wenyu hawatakuja Kenya kutafuta menial labors hapa kwetu.
 
...I pity people like you who cant take advice or copy and improve on a good idea. Tanzania itatawalwa na CCM kwa sababu ya Ubishi, majivuno yasio na msingi, blaa blaa, kutosoma na upumbavu wa watu kama wewe wasiojua kukaa ndani ya mada. y'all need change son
Yaani wewe unafikiri ninahitaji kupata ushauri kutoka kwa wakenya (of all the people)? Vipi aisee, leo umeamkia wapi? Sawa dogo, itakuwa vizuri kama utaendelea kuota ndoto!
 
Yaani wewe unafikiri ninahitaji kupata ushauri kutoka kwa wakenya (of all the people)? Vipi aisee, leo umeamkia wapi? Sawa dogo, itakuwa vizuri kama utaendelea kuota ndoto!

its not like you have a choice, angalia sera za CHADEMA na uangalie ya NARK before the 2002 elections.. mtu wangu kwenye katiba yenu mta kopa ama you'll borrow a lot from Kenya.. watch that space
 
its not like you have a choise, angalia sera za CHADEMA na uangalie ya NARK before the 2002 elections.. mtu wangu kwenye katiba yenu mta kopea ama you'll borrow alot from Kenya.. watch that space
Ok, have a nice weekend!
 
its not like you have a choice, angalia sera za CHADEMA na uangalie ya NARK before the 2002 elections.. mtu wangu kwenye katiba yenu mta kopa ama you'll borrow a lot from Kenya.. watch that space

Tanzanians need to realize that unless Tanzanians rise up and protest on the streets of DAR Mwanza Arusha Tanga etc, CCM will stay in power and there will never be a new constitution to replace the current obsolete Tanzanian constitution.

it took the lives of 3000+ Kenyans so that we can have the new constitution. i am pointing this out not to advocate for violence but to say that if Tanzanians want change(the protests in Arusha are a sure sign that Tanzanians want change) they have to be prepared for hard work and sacrifices.

the current Tanzanian constitution has to go. it is not helping the political change that is needed in Tanzania
 
Back
Top Bottom