FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
inashangaza kuwa huna rangi tutakayokubainisha nayo. Uko ccm, bado mwalimu humkubali. Una hasara dada
Nyerere namkubali sana na alikuwepo na ni Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanzania, na ni Rais wa Kwanza wa Tanzania na ni Rais aliye kaa madarakani kwa muda mrefu kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania, na ni muasisi wa Azimio la Arusha na ni Mzanaki (kabila dogo sana ukilinganisha na makabila mengine ya Tanzania), na amebatizwa akiwa mtu mzima na amelitumikia Kanisa wakati akiwa Rais wa Tanzania, na ni msemaji mzuri sana kuliko Rais yoyote wa Tanzania na ni mchekeshaji (comedian) mzuri sana kuliko Rais yoyote wa Tanzania, na ni Rais aliyetuwacha maskini kuliko Rais yoyote mwingine wa Tanzania, na ni Rais anaetaka kupewa utakatifu kuliko Rais mwengine yeyote wa Tanzania na ni Rais ambae siasa zake za Ujamaa zimeshindwa (failed), na ni Rais ambae siasa zake za Ujamaa zimeondolewa kabla hajafa, na ni Rais pekee aliyekufa nje ya Tanzania na ni Rais pekee aliyekubali makosa yake, na ni Rais pekee aliyepewa fedha za kujenga msikiti na Gaddafi akiwa hai lakini msikiti ukajengwa baada ya yeye kufa.
Ni punguani yupi anaesema simkubali Nyerere?