A lie detector robot

Mkare

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
504
78
Kama umeshawahi kuiona please piga kimya na chapa lapa achia ambao hawajaiona. Maana kuna watu wanavyoshushua wenzao...

Here we go...

A man buys a lie detector Robot which slaps people who lie.He decided to test it at his home during dinner;

Dad: Son, where were u today during school hours?
Son: at school. Robot Slaps son, again!Ok, it was a day with Porn star.
Dad: What?!When I was at ur age, I didn’t even know what porn was….Robot slaps Dad!
Mom: Hah! Ha! Ha! After all he’s your son….Robot slaps Mom.
 
hell no,kumbe kinder lenyewe sio lake! Lkn mdingi kayataka mwenyewe naye utaendaje na robot bana.
 
Duh!
Nimeipata hiyo!
Wacha kabisa mi sinunu robort kama hilo, nisije vunja unyumba bure.
'Baba nanii mbona umechelewa?'
'Nilikuwa na overtime kwa ofice,' kibao....
 
Back
Top Bottom