A guy friend

Ni ile need tu ya kuwa na opp sex bila sex, na ule utofauti wa perspective na view, na for fun tu

wa mtandaoni tu au wa kikweli kikweli dada? rusha vigezo hewani, waache wajikanyage, shortlist them, wapige intvyuu waliobaki, arrange a physical encounter for the top three, then there you are! but make sure they get value for their time and/or money
 
Siipendi kabisa hii notion, hakuna popote kwenye utamaduni "wetu" na hata ule usio wa kwetu kwamba kukisha kuwa na urafiki kati ya msichana na mvulana basi kitakachofuata ni kuvuana magagulo na kuchezeana makojoleo! Wewe tafuta rafiki -- usiweke dotted line, kwisha habari yake.
 
Vp ukimpata halafu akawa anakaa mkoa mbali nawewe?? Mfano we upo kaskazin na yeye akawa kusini.?
 
Mh! hilo nalo neno!
Hufahamu kijana yeyote anaekuvutia kifikra uraiani?

Nwy hii ya kusema "natafuta" nao wajitokeze sio nzuri sana kwasababu unaweza ukapata hata wasio na nia/malengo mazuri yanayofanana na yako. We wasome watu humu, ukiona kuna anaekuvutia kwa michango yake jenga nae mazoea, ukiona bado anakuvutia basi ndio umuombe urafiki.
 
wa mtandaoni tu au wa kikweli kikweli dada? rusha vigezo hewani, waache wajikanyage, shortlist them, wapige intvyuu waliobaki, arrange a physical encounter for the top three, then there you are! but make sure they get value for their time and/or money
Hata wa kikweli kama ikitokea, vigezo kwa physical appearance n dini hamna coz natafta tu rafiki, n sitalist vigezo zaidi will see how t goes
 
Hello everyone! Ninatafuta a guy friend not a "boy friend" but a guy friend ambaye atakuwa rafiki wa karibu bila mapenzi or sex attachment.

Ni vigumu sana watu wazima wawili wa jinsia tofauti kuwa marafiki wa kawaida bila kumegana! tafakari, amua, chukua hatua!
 
Ni vigumu sana watu wazima wawili wa jinsia tofauti kuwa marafiki wa kawaida bila kumegana! tafakari, amua, chukua hatua!
Ndo maana nikaona nispecify, ili kama mtu anajua hataweza asijitokeze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom