A divorced or single dad to start a new family is needed

sindy

Member
Apr 18, 2014
15
2
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are interested,, karibu PM. Heri ya pasaka
 
i am 25, mdogo sana.
heri ya PASAKA nawe,KRISTO mfufuka ayaangaze maisha yako.
 
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are interested,, karibu PM. Heri ya pasaka

All the best dada, utapata tu
 
Biblia kitabu cha Luka 16:18 Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.

Mathayo 5-27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Mathayo 19- 9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
 
Wewe hujitambui, sina mda wa kubishana na mijitu yenye akili za kitoto ka wewe

Wewe mwenye akili za kikubwa unayeshinda kwenye mitandao ya kijamii (Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) ndiyo unajitambua?!

Nikifikisha umri wako halafu nikawa ninashinda kwenye mitandao ya kijamii nitajipiga risasi ya utosini.
 
cindy don worry they will pm you but take care...! there is a lot of vampires pande hii
 
Hey Sindy .. condition/masharti ni mtu kuwa single na independent pekeyake? Vitu vingine kama dini au kabila sio factor kwako? Ukiviweka wazi hivyo vitu mapema itasaidia candidates kujichuja wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom