butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,365
- 7,429
Mdau ni upuuzi kujadili upuuzi,kwaiyo na wewe utakuwa mpuuzi kumjadili mpuuzi.Inawezekana kapakia viroba vinamchanganya.Achana naye huyu Zombie! Mme wake yuko M23 sasa ana hasira ile mbaya! BIG UP JWTZ, chapa hao wezi!