93% of Crimeans vote for anexation with Russia

Nadhan rais Vlamid Putin anataka ampe hilo jimbo la Cremia rafiki yake Victor kyankovich.

But majority power sustain world.Cremia freed from Ukraine.
 
hakuna ambaye anapigana na sauti ya watu wa crimea,lakin bado kuna hoja kuwa kwa nini putin alipeleka jeshi lake huko kwa siri?kwa nini aliamuru wanajeshi wake wafanye mazoezi ya kijeshi?kwa nini walifunga barabara za kuingia huko crimea?kwa nini hawataki kutambua kitendo cha wananchi kuiondoa serikali ya yavnovich?kama wanadai maoni na uamuzi wa wana crimea kutaka kujiunga na russia yaheshimiwe,kwa nini uamuzi wa raia wa ukrein kutaka kujiunga na jumuiya ya ulaya russia yenyewe inakataa?kuna maswali mengi tu ya kujiuliza
 
Yes, I always appreciate kamanda Putin.
Kwa Tanzania mimi nilipenda kikwete anapotoka ashinikize serikali moja tu. yaani tuwe na rais mmoja wa Tanzania
 
Ubaguzi wa Uzanzibari na Uzanzibara kauleta Nyerere yeye ndie alikuwa mtu wa mwanzo kulitumia hili neno,kabla ya hapo watu walikuwa hawajajibagua wanajijua wao ni nani.

'Comment' yangu nilimjibu yule jamaa aliefananisha kinachoendelea Crimea na Zanzibar kwa kusema "Somo kwa zanzibar"...Jibu langu lilikuwa huwezi kufananisha zanzibar na Crimea kwani kabla Crimea haijawa sehemu ya Ukraine ilikuwa sehemu ya Urusi,mwaka 1954 Crimea ilikabidhiwa kwa Ukaraine

kwahiyo huwezi kufanannisha Zanzibar na Crimea kwani zanzibar haijawahi kuwa sehemu ya Tanganyika,isipokuwa kuna sehemu za Tanganyika zimewahi kuwa sehemu za Zanzibar....nimezitaja kama Bagamoyo......

Sasa hapo nimeleta wapi Uzanzibari na Uzanzibara......?

Nikuulize personal question Mkuu,Je wewe ndio wale walioshiandwa kufaulu darasa la saba nini ;)

Hapana kaka siyo mimi. Je, unaonaje sasa tuwe na rais mmoja tu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania?
husiogope sema.
 
Is the Western empire collapsing? US and EU are basically bankrupt its only that they are psychologically conditions to think otherwise. China is taking all the trade advantage this countries had. Scotland is splitting from England. Go Putin. Hope this will have the same effect as WWII where it lead to independent and free Africa.
 
Asante Russia umefanya jambo zuri sana, hiyo ndio demokrasia ni ngumu kumeza lakini wamagharibi walie tu.
 
Is the Western empire collapsing? US and EU are basically bankrupt its only that they are psychologically conditions to think otherwise. China is taking all the trade advantage this countries had. Scotland is splitting from England. Go Putin. Hope this will have the same effect as WWII where it lead to independent and free Africa.

The Bear(Russia) is awakening the Dragon(China) is rising!! A New World Order awaits us
 
Russia has taken one step ahead of USA and EU but cautiously awaits for them for any reaction against it. Let us wait and see.
 
Zanzibar ikijitoa kwenye Muungano kwa Ujinga wa Wapemba natabiri Unguja itarejea kama ilivorejea Crimea kwenye Urusi baada ya ahadi na matarajio ya uongo kutokutimia.

Utabiri hauko hivyo.
Crimea imejitoa ukraine na kuingia urusi.na zainzibar kwa mfano huo itajiunga na EAC na sadcc . Na inaweza jiunga na kenya au mauritius au uae...
 
Hakuna alicho nyanganywa sultani ambacho kilikuwa kwa niaba ya wazanzibari wa wakati ule wala wa sasa!sultani alikuwa mwivi ,mkandamizaji kama watawala wenzake wa wakati huo wakiwanyonya wananchi ,hiyo ndio hoja yangu

Kama umesikia msemo unaosema "zanzibar njema atakae aje",hiyo zanzibar njema ilikuwa wakati wa sultan sio wakati wenu huu,mazonge matupu hamjui hata mnataka nini,Hebu niambie tangu kaondoka huyo sultan nini kimefanyika pale zanzibar

Kiuchumi zanzibar haijuilikani inatengemea nini,kidini ndio hivyo hivyo,kielimu ndio kabisa hakuna kitu....sasa nchi iliyokuwa inajitegemea kwa kila kitu imekwenda chini mpaka inakaribia kuzama halafu bado niusifu utawala wamapinduzi,sio mimi kaka...

Kama madhumuni ya mapinduzi ni kuwaweka wazanzibar katika maisha magumu basi mkuu nakuachia wewe mapinduzi yako ;)
 
Utabiri hauko hivyo.
Crimea imejitoa ukraine na kuingia urusi.na zainzibar kwa mfano huo itajiunga na EAC na sadcc . Na inaweza jiunga na kenya au mauritius au uae...

Kajifunze kwanza ujue historia ndio uanze kubisha. kajifunze uelewe Tunapozungumzia Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR then wakajitoa sasa sehemu ya Ukraine (Crimea) inataka kurejea kwenye Himaya ya Urusi. kumbuka EAC na SADEC ulizotolea mifano sio nchi ni ushirikiano wa Kikanda.
 
Kwa maelezo hayo atakua amepata mwanga japo kidogo.
 
Kajifunze kwanza ujue historia ndio uanze kubisha. kajifunze uelewe Tunapozungumzia Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR then wakajitoa sasa sehemu ya Ukraine (Crimea) inataka kurejea kwenye Himaya ya Urusi. kumbuka EAC na SADEC ulizotolea mifano sio nchi ni ushirikiano wa Kikanda.

Znz haijawaji muwa sehemu ya tanganyika. Iko katika miungano ikijitoa bado itabaki kuwa znz
 
The problem comes here:....What will happen to Russian-speaking Ukrainians in the East. Putin said he invaded Crimea to save 'Russians'......na walioko Mashariki mwa Ukraine nani atakayewaokoa?????

Only time will tell........
 
Kumbe hata Zanzibar nao wanaweza kupiga kura na kujiunga na Oman au Kenya!
 
na kwa ukichaa wa wamarekani na wenzake tusishangae wanaweza kutangaza vita na urusi
 
Back
Top Bottom