800mil zimekwenda kwa BOSS.

Anakula mapene ya wajinga walio lipa kiingilio madefu yake yatazidi kukua
 
Jamaa kalipwa dolari laki nne kitu kama mil 600.
Watanzania si mna stress? so lzm mnywe bia zetu za serengeti?
source: marketing department, SBL
 
...ukimuona mwanayumbaa mwambieni bado nampeendaa/ mkimuona mwanayumbaa mwambieni bado nampenda/... Huyu nilikuwa namnunulia Bia tu na cha A-town, laki yote ya nini??
 
Andika kama muelewa. nani, kafanya nn, wapi, 800ml ni ya nani na kwa nn kalamba na huyo boss ni nani na yu wapi ili tuweze kuchangia. SIO HUU UPUUZI.
Nakugongea "Like" maana kwenye mchina wangu sioni kitufe cha like. Kula angalau like ya manual.
 
Hi tetesi ya kweli kuwa jamaa kaja na kulamba 800mil kwa siku moja tu....

Ndugu yangu wajinga ndio waliwao hivi hao Fiesta kwanini wasifanye hivyo kukusanya pesa za kusaidia makundi yenye uhitaji maalumu wanafanya upuuzi wa ******
 
According to rick ross official site,, anacharge usd 120,000 for 1 hour show as east african rate ( bei zinatofautiana kutokana na uwezo wa nchi na amegroup east africa as a third world country yaan maskin, hiyo ndo bei rahis) so kama clouds wamemlipa million 800 ni wajinga..

Bei ya rick ross kwa nchi kama tanzania ni usd 120,000 ambayo ni almost million 200 + ticket go and return business class for him and his team, 5 star hotel, insurance, transport in the city...

Utaratib wa kuandaa show yake ni kwanza unaset appointment online then unapewa, kisha unaomba quotation baada ya ku feed information muhim like location of the show, time wao watakutumia quotation, ukikubali wanakutumia contract ili usome term of contract na mnaarange date ya kusain contract pande zote...

Kisha unaandaliwa invoice ambayo utaitumia kufanya malipo ndo mtu mzima anatua bongo for a show...

Bei zake ziko wazi unaweza uka google for more details
 
kshhhkshh Copy that. :poa
 
Habari nilizopata kutoka kwa mtu ndani ya Clouds TV ni kwamba jamaa amelipwa Millioni 400 tshs kwa saa, sasa mulioenda mutuambie amekaa muda gani juu ya jukwaa.
 
So what !!! kwani ameiba? hayo na makubaliano ya kibiashara. unajua waandaaji wamepata ngapi????
 
tupac alikuwa anajiita BOSS player,..wanamuziki wa siku hizi kwa kuiga
 
nyimbo 2 milion 400,800,200....vyovyote wasanii wa kibongo wamelamba milion moja moja.....
 
Back
Top Bottom