80 20 Rule

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
80 20 rule states that: The rule of thumb is that in many instances 80% of the consequences stem from 20% of the causes.

Kwa lugha nyepesi 80% ya mafanikio yako yanatokana na 20% ya juhudi zako. Ni watu wachache wanajua hili. Huishia kupata stress na heartache na hawafanikiwi kwenye maisha yao ya kila siku. 80% yanayo kukuta hutokana na kianzilishi cha 20 %
Tukija kwenye mahusiano fikiria hii 20/80 rule, unaweza kupata 80 % ya mapenzi unayohitaji toka kwa mweza wako, heshima, kujali etc etc. Unapokutana na mtu mwingine nje huyo atakupa kilicho baki 20% ila utatumia jitihada za 80% na unaweza ingia ujinga kuona huyu wa nje ni bora zaidi ya mwenza wako anayekupa 80 % ukitumia tu 20 % ya jitihada. Mapenzi ya nje hukimbilia zaidi kwenye ngono zaidi na kutoangalia mambo mengine.

Cheaters usually go after the 20% while trying to hold on to the other 80 %. If your relationship is going through a rough patch, think about the 80/20 Rule. Before switching partners, be careful since you might be giving up more than you think.

Rev Masa K
 
Mkuu, hujasikia mtu anauza nyumba ya urithi ili ajenge heshima kwa nyumba ndogo?..ha ha haaa!

Shida kubwa ni kwamba labda nyumba ndogo wanajua zaidi hii rule kuliko mama wenye nyumba, na hivyo wanaboresha hiyo part yao kila kukicha, wakiiongezea manjonjo na kuipaka rangi mpya, tofauti na jana!:coffee:
 
Mkuu, hujasikia mtu anauza nyumba ya urithi ili ajenge heshima kwa nyumba ndogo?..ha ha haaa!

Shida kuba ni kwamba labda nyumba ndogo wanajua zaidi hii rule kuliko mama wenye nyumba, na hivyo wanaboresha hiyo part yao kila kukicha, wakiiongezea manjonjo na kuipaka rangi mpya, tofauti na jana!:coffee:

Ni kweli juhudi kubwa lakini unachokipata in returns huwa ni kidogo sana! Hebu kuwa umefukuzwa kazi na biashara zimeharibika mkeo atakuwa na wewe bega kwa bega nyumba ndogo itakuambia uchukue ustaarabu wako 80/20 rule!
 
Hata kama kiingereza sio mother-tongue, asilan 'mafanikio' na 'juhudi' sio tafsiri sahihi ya 'consequences' na 'causes', respectively.
 
Ni kweli juhudi kubwa lakini unachokipata in returns huwa ni kidogo sana! Hebu kuwa umefukuzwa kazi na biashara zimeharibika mkeo atakuwa na wewe bega kwa bega nyumba ndogo itakuambia uchukue ustaarabu wako 80/20 rule!

apo chacha...wanaume weng wameshndwa kujua ili...
 
Amesema kwa lugha nyepesi, sio direct translation.

Huwezi kupotosha maana ya maneno kwa kisingizio cha lugha nyepesi. Kama maana halisi ya maneno yaliyotumika ina mushkeli, the same itakuwa kwa tafsiri yake.

Mnanyweshwa uongo.
 
Huwezi kupotosha maana ya maneno kwa kisingizio cha lugha nyepesi. Kama maana halisi ya maneno yaliyotumika ina mushkeli, the same itakuwa kwa tafsiri yake.

Mnanyweshwa uongo.

Ebu tunyooshee basi mkuu, labda itaongeza utamu :coffee:
 
Kwani unadhani wakiwa bize huko nyumba ndogo wanakua hawajui??:twitch:Vichwa ngumu tu.....mtu akianza kuumwa au akikumbwa na janga ndo anamkumbuka mama naniii wake!!!!!Wakati huo ana mahitaji zaidi ya anayoweza kutimiza!:sick:
 
80/20 rule hiyo mama mchungaji!
 
Back
Top Bottom