7th anniversary to me in JF

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
6,779
13,844
Leo Ni miaka 7 kamili tangu nimekuwa member rasmi wa JF. Safari ya JF ilianzia miaka ya 2010 hivi, pale nilipokuwa nikisearch baadhi ya taarifa kwenye browser huku results zikiniletea source ya JF, i can say by that time JF was among of the reliable source of information so nikawa natumia kama guest user kwa kipindi cha kama mwaka na nusu hivi mpaka nilipoamua kufungua rasmi account yangu tarehe 24 jan 2013.

NEW EXPERIENCES.

Well kujiunga na JF kumeniletea faida nyingi sanaa but mostly ni za kimaslahi zaidi, nimekutana na marafiki na wadau wenye nondo za ujasiriamali hatarii , michongo ya biashara, opportunities n.k lakini kubwa kuliko ni zile nyuzi zilizokuwa zikinivutia kipindi cha mwanzo humu, zile za wadau wa kuzamia na kujitupia abroad (legal or illegal ) thanks God za kuambiwa nikachanganya na zangu now "jet lag" is my main fever.

MY FAVOURITE MEMBERS.

Kwa upande wa members humu, i'm a big fun wa hawa wakuu Deogratius Kisandu na mobimba nyee nyeee mzee lemutuz hawa jamaa back in the days walikuwa ni sababu kubwa ya mimi kuingia humu na kurefresh.

BAN RECORDS .

I got banned once and it was a very long ban, come on! how i would have survived ??? "New ID" , Yes! the idea of new ID ikanijia hapa though nilikuja kuidump baada ya kumaliza ban, nilisahau password then sikutaka kuhangaika nayo tena.

MY WISHES

Miezi michache iliyopita niliandika uzi nikipropose kuanzishwa kwa Forum ya Travel ambayo ingetoa platform kwa wadau wenye ndoto za kusafiri globally au hata baadhi ya maeneo ya nchi yetu kwaajili ya ku explore fursa mbali mbali za kimaisha kushare information na maujanja ya hapa na pale, well nashukuru nilipata response nyingi na positive kwa wadau humu, naomba nitumie siku hii ya leo kuwakumbusha wakuu @maxencemelo na uongozi wako kulifikiria mara mbili hili swala, ni imani yangu mtakuja na muitikio mzuri.

MY FAVOURITE FORUMS

General forums hapa mara nyingi nashinda kwenye Habari & Hoja mchanganyiko, International forum na Jamii intelligence
Biashara , Uchumi na Ujasiriamali, matangazo madogo.

JF "shosho" forums
Hapa huwa siruki forum kuanzia chit chat mpaka mwisho naweza sema hili ni moja ya Forum yangu pendwa sana, cha ajabu sijawahi kubahatika kula tunda kimasihara kutoka humu JF

Mwisho kabisa nipende kusema i personally feel proud kuwa member wa JF, kwangu JF ni zaidi ya chuo kikuu, kila siku nimekuwa niki learn a new knowledge and experience , shukrani za dhati zimuendee mkuu maxence melo na team yake yote kwa kutufikisha hapa.

let's meet at the top.
Tchao!




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom