Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
@abscbnnews: Magnitude 7.4 earthquake hits Tokyo, USGS says. Tsunami warning raised over northeast Japan (via Reuters)
@abscbnnews: Magnitude 7.4 earthquake hits Tokyo, USGS says. Tsunami warning raised over northeast Japan (via Reuters)
Inasikitisha na kutisha. Nadhani ingekuwa Bongo tayari tungeshajumuisha mambo ya ushirikina!!!Mkuu naangalia hio kitu kwenye CNN sasa hivi na kwa kweli kazi ipo huko Japan!
Inasikitisha na kutisha. Nadhani ingekuwa Bongo tayari tungeshajumuisha mambo ya ushirikina!!!
Wengine hasa manambii wa uongo wangesema eti huo ndio mshahara wa zambi kama alivyowahi kusema Mch Lwakatare hapo nyumani kuwa tsunami iliyovikumba visiwa vya huko bara Asia ni matokeo ya dhambi,naona safari hii kakaa kimyaInasikitisha na kutisha. Nadhani ingekuwa Bongo tayari tungeshajumuisha mambo ya ushirikina!!!