50yrs..TUMEDHUBUTU...TUNASONGA MBELE

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
CCM AMBULANCE.jpg

wanaosema nyinyiem haijaleta maendeleo nani..?
 
huu mradi wa ambulance wa kizembe sana, bajaji haziwezi pita sehemu zenye mabonde!
 
subilini muone kama zitatembea mbinga huko nasasa tutashuhudia kinamama wakijifungulia njiani kinavyo rusharusha kibajaji uchungu tosha
 
Haaahaaa! Kuna sehemu nyingine wana tegemea toroli. Chezea madaraka wewe
 
Udhaifu & ulegelege wa uongozi ulitangulia ktk chama tawala kuanzia utawala mwisho wa Mwinyi kuanzia 1990-2015 ndiyo inatufanya tuwe hivi!

Ila hakika nawaambieni ya kwamba mwisho wa hawa mafisadi uko mkononi mwa Wanainchi.
Hiki chama kikirudi madarakani 2015 Mi binafsi nakwenda kuomba uraia wa kudumu Sudan ya Kusini.

Na hawa mafisadi sanasana kuanzia huyu Mkapa & Kikwete kwa hali walitufikisha hakika serikali inayokuja lazima iwaulize.

Serikali tawala na wabunge wake wote ni DHAIFU mpaka mibongo yao.
 
Jamani nataka huyo alifikiria kwa sana akaja na wazo hili la bajaj kuwa ambulance alikuwa nani, kwanza inarusha, pili mgonjwa mtu mzima ni lazima akae, sipati picha ikiwa mtu yuko unconscious, sijui watamtundikaje.

Mambo mengine hata mtoto wa KG anaweza kufikiria better.
 
Yaani POSTA to Osterbay, Shangingi; Nangurukuru to MOI, bajaj siyo? This man must not only weak but also crazy!
 
Back
Top Bottom