Warue
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 424
- 810
Salaam wanaJF.
Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani hawa Wafaransa walijiandaa kufaidika na kuondolewa kwa Gbagbo madarakani.
Laurent Gbagbo na Mke wake baada ya kuondolewa madarakani
Bahati nzuri kwenye pita pita zangu kwenye online books store, nimekutana na kitabu kinachoitwa " free for truth and justice" kilichoandikwa na Gbagbo mwenyewe.
Katika kitabu hiki, Gbagbo amejaribu kuelezea kilichokuwa nyuma ya kuondolewa kwake madarakani kwa msaada wa Wafaransa na washirika wao.
Kwa kifupi, hii hapa maelezo yake kama yalivyofupishwa in InfoSenegal
Laurent Gbagbo: ′′ France has driven me out of power at Cause of Ivorian Oil ′′ #InfoSenegal: When I came to power in 2000, I found in the Ivorian oil mining contract that Ivory Coast earn 12 % on a barrel of oil. This means in easy French that if you sell a barrel of oil for example at 1000 f, France takes 880 f and Ivory Coast takes 120 f. I took another look at the other contracts of ports, cocoa, coffee, gold, diamonds and others.
I realize this is the same looting system that exists everywhere. A month after my election, I engaged in discussions with France to achieve equal agreements in all of our affairs. That is 50 %-50 %. She refused, I saw blush people as if they were being told bad news and this was seen as a threat to French interests, that's why they fought me and put their friends who continue with the same fake ones chords so far.
Kwa wapenzi wa kifaransa, karibuni hapa
Laurent Gbagbo: « La France M’a Chassé Du Pouvoir À Cause Du Pétrole Ivoirien » #InfoSenegal. Quand je suis arrivé au pouvoir en 2000, j’ai trouvé dans le contrat d’exploitation du pétrole ivoirien que la côte d’Ivoire gagne 12% sur un baril de pétrole. Cela signifie en français facile que si on vend un baril de pétrole par exemple à 1000f, la France prend 880f et la Côte d’Ivoire prend 120f. J’ai jeté un autre coup d’oeil dans les autres contrats des ports, cacao, café, or, diamants et autres. Je me rends compte que c’est le même système de pillage qui existe partout. Un mois après mon élection, j’ai engagé des discussions avec la France pour obtenir des accords égal à égal dans toutes nos affaires. C’est à dire 50% – 50%.
Elle a refusé, j’ai vu des gens rougis comme si on leurs annonçaient une mauvaise nouvelle et cela a été vue comme une menace pour les intérêts français, voilà pourquoi ils m’ont combattu et ont mis au pouvoir leurs amis qui continuent avec les mêmes faux accords jusqu’aujourd’hui.
Sitaki kuamini kama watu waliombeza rais wa awamu ya 4, Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (JK) kwa kupenda kwake kwenda nchi za nje huku madini yetu yakitoroshwa ndio hao leo wameingia kwenye rada za wazungu. Watu hawa wamekuwa kama nyani kwenye shamba la mahindi,bila kupiga kelele kila kona tutavuna mabua. Plan yao ya mtu ambaye angemfuata JK ilifeli, JPM akaingia bila wao kutarajia na kufanya mapinduzi makubwa kwenye madini.
Soma zaidi hapa
Kwenye madini yetu tuhangaike na kitulacho na kiturogacho kikamilifu
Hata kwenye uwekezaji wa madini sisi ni hovyo Duniani. Tunakwama wapi?
Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani
Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?
Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360
Sasa tunaona rangi halisi ya mkoloni kwenye vazi la mteja wa Robert Amstaderm ( Mbelgiji). Amejawa tamaa, kubwa sana
Naililia nchi yangu Tanzania.