3.5 million kenyans are starving

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kwa nini Sasa wakened wanajiita eastafrican powerhouse wakati hata kula ni shida?
 
Kwa makaratasi wanaonekana vizuri hasa hasa kwa mahesabu ya mzunguko wa ela kwa kenya yote. Lakini huo mzunguko wa ela unachezewa na wachache wale waliopo serikalini na wahindi na baazi ya wale watu wa kwanza kushika madaraka na kujigawia mali na mafamilia zao. Walewezangu na mie wamezoea joto ya jiwe lakini huko ni balaaa zaidi ya bongo.
 
Hiyo ni fundisho kwetu kuhakikisha kunajipa utaratibu wa kuwezesha watu wetu pasipo kulinganisha na nchi nyingine,
 
In fact Kenya watu wanao starve ni watu wa kule kaskazini mwa kwenya, mpakani na somalia. Ukame ulioko kule na poor infrastructures za kuleta maji ni balaa... Poleni ndugu zetu.
 
In fact Kenya watu wanao starve ni watu wa kule kaskazini mwa kwenya, mpakani na somalia. Ukame ulioko kule na poor infrastructures za kuleta maji ni balaa... Poleni ndugu zetu.
umesema kweli ,hakuna kibatan cha thanx ningekugongea, wana kambi ya kakuma ni kukame mno.
 
Niko na wakenya hapa wanajisifiaga wapo poa kiuzalishaji huo ukame sasa wa turkana pole yao ila ni dili kwetu bongo tukiuza mahindi na beans huko kenya
 
Back
Top Bottom