benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.
Waziri Ulega amesema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Uvuvi Duniani yanayofanyika Zanzibar leo Novemba 22, 2023.
Waziri Ulega amesema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Uvuvi Duniani yanayofanyika Zanzibar leo Novemba 22, 2023.