2023 haikuwa riziki yangu hata kidogo

that manzi

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
351
1,137
Aisee acha tu huu mwaka uishe kwa kweli haukuwa mwaka wangu hata kidogo naumaliza kwa huzuni na masikitiko ningekua na uwezo leo ningejipa pole kwa bia mbili 3 nipunguze machungu. Huu mwaka umenipiga kitukizito kila upande.

Kiuchumi
Huu mwaka nimerudi nyuma hatua 10 naumaliza nikiwa broke pamoja na madeni kila kona.

Kibiashara
Nimetapeliwa sijui ndo kuibiwa na hawa wanaogiza vitu china siji kurudia nimepata somo aisee.

Kimahusiano
kivumbiii japo hapanipi shida muda upo sina haraka.

2023 haujataka nipumue hata kidogo🥲🥲

Achievements kubwa kwa Mwaka 2023 ni kuwa hai na afya namshukuru Mungu kwa hili.

HONGERENI KWA KUMALIZA MWAKA SALAMA NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE ZA 2024 🥂
 
Aisee acha tu huu mwaka uishe kwa kweli haukuwa mwaka wangu hata kidogo naumaliza kwa huzuni na masikitiko ningekua na uwezo leo ningejipa pole kwa bia mbili 3 nipunguze machungu..... huu mwaka umenipiga kitukizito kila upande

kiuchumi
huu mwaka nimerudi nyuma hatua 10 naumaliza nikiwa broke pamoja na madeni kila kona

kibiashara
Nimetapeliwa sijui ndo kuibiwa na hawa wanaogiza vitu china siji kurudia nimepata somo aisee,

kimahusiano
kivumbiii japo hapanipi shida muda upo sina haraka.

2023 haujataka nipumue hata kidogo🥲🥲

Achievements kubwa kwa Mwaka 2023 ni kuwa hai na afya namshukuru Mungu kwa hili.

HONGERENI KWA KUMALIZA MWAKA SALAMA NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE ZA 2024 🥂
polee, hauko peke ako kwenye hilo… kikubwa ni kutokukata tamaa tu one day yes
 
Nje ya Mada
Mods huwa wanasahihisha muandiko?
Mfano hivi nilivyoandika bila kuachanisha aya, ikifika usiku nikilala nikiamka asubuhi nakuta wameachanisha nafasi kwa kila mstari.
Hii nimeiona sana kwenye posts zangu nakuta zimeeditiwa muandiko mzuriii.
 
Ndiyo mchumba!
Hadi heading Huwa wanaedit vizuri

Na ww uandike vzr bn yaan sisi tunaacha kwenda kupata vinywaji tupo bize kuedit story zako, 🤣🤣story zenywe sukari haikolei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom