Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,267
- 6,035
Kwa wale wapenzi wa mpira wa kikapu wa marekani yani NBA unakaribia kuanza jumanne hii 24 oct itakuwa ni moto sana kutokana na jinsi timu zilivyo kipanga tunategemea itakuwa msimu wa ushindani na ubora mkubwa sana