Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,648
Si mlisema haya semeni tena TB Joshua nyie

Mxiiiiewwww!...lol!
Kuna watu bado wana dharau kubwa sana kwa uwezo wa wanawake kama viongozi. Indira Gandhi aliiongoza nchi kubwa ya India kwa uwezo kubwa katika vipindi mbali mbali na kupendwa sana na wananchi wake. Magreath Thatcher AKA Iron Lady aliiongoza Uingereza na kupendwa sana na wengi hata wale ambao hawakumchagua.
Huwa nashangaa sana kuona bado kuna watu wenye dhana potofu kwamba mwanamke hastahili kuwa Rais wa Marekani. Huwa inanikumbusha dhana potofu iliyokuwepo kabla ya Obama kuingia madarakani toka kwa watu mbali mbali wakiwemo wasomi na wajuzi waliobobea katika masuala ya siasa kwa kudai kwamba "America is not ready for a Black president" 2008 akachaguliwa na kuingia madarakani huku USA ikiwa katika hali mbaya sana ya kiuchumi lakini kupitia uongozi wake akaimarisha uchumi kwa kucreate almost 16 million jobs na akachaguliwa tena mwaka 2012.
NB: Nilikuwa sijui kama nawe unajua kusonya
Hata waandamane uchi Trump Ndio Rais wa 45 wa America, waamerica wamesema hayo kupitia sanduku la kura
I hope this won't last long, otherwise the journey ahead will be very difficult.
Kuna watu bado wana dharau kubwa sana kwa uwezo wa wanawake kama viongozi. Indira Gandhi aliiongoza nchi kubwa ya India kwa uwezo kubwa katika vipindi mbali mbali na kupendwa sana na wananchi wake. Magreath Thatcher AKA Iron Lady aliiongoza Uingereza na kupendwa sana na wengi hata wale ambao hawakumchagua.
Huwa nashangaa sana kuona bado kuna watu wenye dhana potofu kwamba mwanamke hastahili kuwa Rais wa Marekani. Huwa inanikumbusha dhana potofu iliyokuwepo kabla ya Obama kuingia madarakani toka kwa watu mbali mbali wakiwemo wasomi na wajuzi waliobobea katika masuala ya siasa kwa kudai kwamba "America is not ready for a Black president" 2008 akachaguliwa na kuingia madarakani huku USA ikiwa katika hali mbaya sana ya kiuchumi lakini kupitia uongozi wake akaimarisha uchumi kwa kucreate almost 16 million jobs na akachaguliwa tena mwaka 2012.
NB: Nilikuwa sijui kama nawe unajua kusonya
Mkuu hayo maneno manne uliyoyataype yamedhihiisha uungwana, big up!Nakubali kabisa kuwa nilichemka.
Mkuu hayo maneno manne uliyoyataype yamedhihiisha uungwana, big up!
Kuna watu hawataki kuamini na kukubali kilichotokea.....Ndio yashatokea hayo.
Revange flan hiviHajitambui kabisa huyu Mkuu. Ukiwa na ndugu kama huyu unajuta tu yaani anamuona mtu baki wa maana kuliko ndugu yake kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Even Lowassa had huge rallies and many people say he won, may be Tanzania had election rigging of its own. Filling the arenas is indeed a significant sign.
Ha...the smartheads who pooh-poohed the 'significance' of crowds at Trump's rallies are wiping some egg on their faces right now.