2015 Mgombea uraisi Zanzibar atokee Tanzania Bara

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI ZANZIBARI.NAMAANISHA KILA CHAMA KIHAKIKISHE KiNAMTEUA MGOMBEA WA URAISI WA ZANZIBARI KUTOKA TANZANIA BARA

hakii;;
 
hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,haki sawa kwa wote wabara na wavisiwani,kama mayakhe wagombea huku na sio tukagombee kule atiiiii;;sawasawa;;
 
wenyewe watakuja yakheeeeeeee mie sisemi neno napita tuu mie naenda darajani kula urojooo
 
Teh teh teh kaka umenifurahisha sana, naunga mkono hoja kama komba vile mia kwa miaaaaa
 
MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI ZANZIBARI.NAMAANISHA KILA CHAMA KIHAKIKISHE KiNAMTEUA MGOMBEA WA URAISI WA ZANZIBARI KUTOKA TANZANIA BARA

hakii;;

mkuu una jeuri,wakija wenyewe sijui itakuwaje mayakhe hawataki makhafiri kwao
 
Teh teh teh kaka umenifurahisha sana, naunga mkono hoja kama komba vile mia kwa miaaaaa

Hi ni sawa Kabisa, kama Maalim anavyodai uRais wa Tanzania ni zamu ya Wazanzibar basi safari hii uRais wa Zanzibar ni zamu ya waTanganyika.

Naunga mkono hoja Mia kwa Mia.

Tuendelee
 
Hakii!!?? kwa hili labda, ukane Utanzania bara/Utanganyika na kuwa Raia wa Tanzania zanzibar(ingawa waliowengi kwa kudanganywa wanataka waitwe Wazanzibar), ndipo utapewa fursa ya kugombea Zanzibar. Hapo Katiba ndipo inapoonekana kuwa na umuhimu wa kuandikwa upya kuondoa malalamiko kama haya.
 
ni kweli kabisa inabidi Peter Mziray, Dovutwa Fahmi Dovutwa, Hashim Rungwe na Profesa Ibrahim Haruna Lipumba waende wakagombee Urais wa Zanzibar.
 
Kweli ... I can't wait Zanzibar kuwa na rais mwenye jina unconventional e.g., 'President Partic Richard of Zanzibar'; 'President Paulo Petro Mathayo of Zanzibar'; etc.
 
Gud idea! Kama kweli sisi tuna muungano na tz ni nchi1 yaani( tanga&zanz) basi 2015 iwe hvyo Rais wa zanz atoke bara. GUD IDEA ND GUD POINT.........
 
MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI ZANZIBARI.NAMAANISHA KILA CHAMA KIHAKIKISHE KiNAMTEUA MGOMBEA WA URAISI WA ZANZIBARI KUTOKA TANZANIA BARA

hakii;;

Ndiyo maana CDM walisema tuachane na muungano kama huu usioeleweka. Lissu aliongea yote,aliyajibu. Muungano wa nchi mbili ni matatizo. Kwanza si muungano. Mkiungana mnakuwa waMOJA!! Kwa hiyo vile visiwa vinakuwa sehemu ya Jamhuri moja...
Ila kwa hivi tunavyoendelea,matatizo hayataisha..
 
U dont seem to understand. Nyinyi Watanganyika hamna serekali. Sisi Wazanzibari tuna serekali yetu although ni semi-autonomous, lakini ipo. Huko kwenu bara kuna Serekali ya Muungano wa Tanzania ndo maana ni haki ya Watanganyka na Wazanzibari. So suala la kusema Rais wa Zanzibar atoke bara hiyo haiwezekani.
 
Niwajuavyo Wazenji, akili zao hazina tofauti na :hatari::llama::llama::llama::llama:
 
Heh Heh yakhe wawachokoza Akina Chako Changu,Changu si Chako a.k.a mabingwa wa ligi ya ubishi duniani
 
MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI ZANZIBARI.NAMAANISHA KILA CHAMA KIHAKIKISHE KiNAMTEUA MGOMBEA WA URAISI WA ZANZIBARI KUTOKA TANZANIA BARA

hakii;;

Hii mimi niliisema na bado nitaendelea kuisema,wabara tuache kujipenda kupita kiasi,this time wazenj nao wakikalie iko kiti,tena ili kuwatendea haki na cha uwaziri mkuu pia wangekikalia maana ni muda umepita since watoe waziri mkuu bwana Salim Salim tena kwa muda mfupi tu kumalizia kipindi alichokiacha mzee wetu sokoine,safari hii wao watoe rais na waziri mkuu na sisi tukikalie kiti cha umakamu wa rais for the first time toka tufanye mabadiliko ya kuwana mgombea mwenza!
 
kansa yako ya udini itakuua kabla ya wakati.yaani unamaanisha watanganyika tuongozwe na akina Alhajj?
 
Ndiyo maana CDM walisema tuachane na muungano kama huu usioeleweka. Lissu aliongea yote,aliyajibu. Muungano wa nchi mbili ni matatizo. Kwanza si muungano. Mkiungana mnakuwa waMOJA!! Kwa hiyo vile visiwa vinakuwa sehemu ya Jamhuri moja...
Ila kwa hivi tunavyoendelea,matatizo hayataisha..

yeah... Kama states za Marekani,RSA,etc. Au iwe serikali tatu kabisa. Kunakuwa na sheria za kulinda maslahi ya kila nchi na kunakuwa na sheria federal za kufuatwa na nchi zote..
 
Back
Top Bottom