Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Mkristo ni yupi Ebby? Maana umesema unasemea imani ya kikristo!1. Imani ninayoongelea ni ya Kikristo kwani nimequote from the Bible not other sources.
2. Believer kwangu ni mtu yule aliyempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake. Siku zote anatafuta kuwa na amani na watu wote na UTAKATFU ambao pasipo hatuwezi kumuona Mungu.
Nadhani nimekujibu...naomba mchango wako!