Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,889
Unajua tumetoka mbali na tunaenda mbali. Zamani kabla ya haya mambo ya toilet paper hatujayaona na kuyasikia..unajua tulikuwa tunajisafisha vipi?
Tulikuwa tunatumia ardhi..that is unakaa chini kwenye vumbi baada ya kujisaidia na unajisugua chini...well there at times things you cant imagine, but in Africa they do!
Mkandara Toilet paper bado ni luxury good! ungesema majani ya mgomba au kwa "walioendelea" magazeti hapo sawa. but spending hard earned two hundred to buy toilet paper? few can see a rationale, let alone affording the same. Labda wale wa matawi ya juu.
Unajua tunasema 80% ya wananchi wetu wanaishi vijijini on less than $$1 per day. sasa anza kuichambua ile 20% iliyobaki ambayo ndo inajumuisha akina kiwalani, mbagala, kongowe, uwanja wa fisi...nk ki uhakika watanzania wanaoishi maisha ya neema ni less than 5%! na labda 2% ndo kada ya akina Mkandara na mwanakijiji walio majuu na asilimia 90% ndo wanabaki kwenye statistics..in no man`s land!
Viongozi wetu wameshazoea status quo usishangae hata wao wakienda nyumbani kwao vijijini wanajisaidia kwenye toilets kama hizo alizobandika kada...its Africa, no where alse.