10/06/2023 Bunge kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya DP World

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Ratiba za bunge zinaonesha kuwa tarehe 10/6/2023 bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania litakaa na kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya Daubai kifungu Kwa kifungu.

Kwa wale wanaotaka kusikiliza tarehe tajwa amka mapema washa TV fuatilia Ili mbivu na mbichi zijulikane

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Angekuwa Magufuli asingekubali democracy kuchukua na fasi yake bora mama mara mbili.
 
Ratiba za bunge zinaonesha kuwa tarehe 10/6/2023 bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania litakaa na kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya Daubai kifungu Kwa kifungu.

Kwa wale wanaotaka kusikiliza tarehe tajwa amka mapema washa TV fuatilia Ili mbivu na mbichi zijulikane

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Katika sakata la bandari kuna aina ya watu wa tatu kuna wanao pinga kwasbb ya ulaji kuna wanao pinga kwasbb hawajui ukweli na kuna kundi linalo pinga kwasbb ya udini?......jamani tusifuate mkumbo tuchunguze tupate ukweli. TPA elishindwa kua competitive katika soko tupishe wenye uzoefu ila sio miaka 100.
 
Moderator hiyo heading inaposomeka Daubai badala ya Dubai ni aibu kwetu sote humu,irekebishwe haraka.
Shida ni USSR anataka awe wa kwanza kureta taarifa wakati humu kuna UZI spika Dr Tulia katufokea vibaya muno kwamba tarehe 10 ndo tumsikilize Dr Msukuma akisukuma hoja za kidakitari
20230608_101702.jpg
 
Bunge limejaa darasa la saba unategemea nini. Hiyo ni zuga tuu ionekane samia hana kosa na kwamba hajapitisha huo mkataba.

Samia ni mjanja sana anataka bunge la ccm liridhie huo mkataba ili kipindi cha uongozi wake asiweke historia kwamba alikuwa lame duck kiasi kwamba akauza bandari na kuweka usalama wa Nchi hatarini. Ila bunge lionekane ni bogus

Kipindi cha korona alijificha nyuma ya tume ya wataalamu feki ili aruhusu chanjo na kwa kupitia staili hiyo anataka kutuweka tena auze bandari.

Mama historia itakukumbuka kwamba uliuza bandari. Ukisha mpa mtu mweupe mkataba jua hauvunjiki na pia tunakuomba usituingize mkenge bandari ya bagamoyo tumekaa sasa unataka kuuza hii tunayo itegemea . Hizi mali jamani ziachwe.
 
Ratiba za bunge zinaonesha kuwa tarehe 10/6/2023 bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania litakaa na kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya Daubai kifungu Kwa kifungu.

Kwa wale wanaotaka kusikiliza tarehe tajwa amka mapema washa TV fuatilia Ili mbivu na mbichi zijulikane

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Kama posho ya Bilioni 47 ya Wizara ya Ardhi ilipita kwa msuri,watashindwa nini kumfurahisha Mama Maridhiano awafurahishe Wajomba zake Uarabuni.
 
Bunge limejaa darasa la saba unategemea nini. Hiyo ni zuga tuu ionekane samia hana kosa na kwamba hajapitisha huo mkataba.

Samia ni mjanja sana anataka bunge la ccm liridhie huo mkataba ili kipindi cha uongozi wake asiweke historia kwamba alikuwa lame duck kiasi kwamba akauza bandari na kuweka usalama wa Nchi hatarini. Ila bunge lionekane ni bogus

Kipindi cha korona alijificha nyuma ya tume ya wataalamu feki ili aruhusu chanjo na kwa kupitia staili hiyo anataka kutuweka tena auze bandari.

Mama historia itakukumbuka kwamba uliuza bandari. Ukisha mpa mtu mweupe mkataba jua hauvunjiki na pia tunakuomba usituingize mkenge bandari ya bagamoyo tumekaa sasa unataka kuuza hii tunayo itegemea . Hizi mali jamani ziachwe.
Hilo bunge ni la JPM, hayo mokasa yote katuletea huyu hamna mbunge wakupinga hilo.
 
Back
Top Bottom