Wakuu 2mshukuru mungu kwaku2shugulilisha na miangaiko ye2yote yakutwa nzima, jamani 2mshukuruni kwanza mungu kwani ame2tendea mema. Na pili jamani, wakuu tupumzike japo mudahuu kidogo uliobaki7babu kesho 2nakazi ngumutena yakulijenga hilitaifa na mwisho wakuu wote kwa ujumla usiku mwema jamani,