mgongo wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  2. JanguKamaJangu

    Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha Watoto wenye changamoto ya Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi

    Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu wa Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi imeadhimishwa leo Oktoba 25, 2022 Duniani kote na wito umetolewa kutowaficha watoto hao wenye changamoto hiyo ya kiafya. Afisa Ustawi wa Jamii MOI, Sophia Nasson ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuhakikisha hawawafichi...
  3. Sildenafil Citrate

    Tatizo la Watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa na Mgongo wazi

    Tatizo la watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa, au kuwa na mgongo wazi husababishwa na upungufu wa Folic acids anaokuwa nao mama mjamzito. Mwongozo wa CDC unashauri kila mwanamke anayepanga kushika ujauzito aanze kutumia virutubisho hivyo walau miezi 3 kabla ili kuuandaa mwili wake vizuri katika...
Back
Top Bottom