kiduku lilo

  1. Mr Q

    Mambo ya Kiduku lilo

    Tafuteni pesa kisha zitumieni.
  2. Jokajeusi

    Maisha ya JF, Nani kakuzidi nini? Nawe umetuzidi nini?

    Wakuu bila shaka mpo poah! Leo nimeamua kufunguka kitu ninachojiamini nacho humu JF ambacho nawashinda watu wote. Katika jambo hili nimeshindikana, mimi ni championea ambaye kwa sasa sina mshindani. ;););) Sasa jambo ambalo Mimi wote humu hamuniwezi, nimeshindikana nalo ni moja, nalo ni...
  3. Sweet16

    Nakumiss wewe kaka

    Nimemiss story za maisha mazuri bana wiki hii sjui ulispend wapi njoo tafadhali nimemiss threads za kulalamika Kiduku Lilo
  4. kipipili

    Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
Back
Top Bottom