Search results

  1. katima

    Mtazamo wangu kuhusu onyo la mtu anayejiita “Kigogo” kwenda kwa Benard Membe

    Soma comments vzr hapo utajua hiyo picha ya lini???
  2. katima

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Unajulikana vzr
  3. katima

    Ukweli ni upi jinsi ya kuijua nyota yako?

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  4. katima

    Tundu Lissu: Fomu zinapaswa kujazwa na kuwasilishwa kwa njia ya mkono na pia kusainiwa na wakili wa Tanzania. Ningewezaje?

    Una uwakika gani??Mh Spika & Kamati ya maadili haina taarifa za N.mkono na kama huwa ana Update kila mwaka hizo fomu za mali ya watumishi wa Umma hajazi???
  5. katima

    Tundu Lissu: Fomu zinapaswa kujazwa na kuwasilishwa kwa njia ya mkono na pia kusainiwa na wakili wa Tanzania. Ningewezaje?

    Weka hoja sio kutusi unafeli wapi kwani mwenzio umeona alichokiandika hapo we mbishie kwa maandishi kuwa haiwezekani kujaza fomu na kuzituma Tz na kupigwa mihuli ya mawakili na kufika panakostahili.
  6. katima

    Hawa Bolt (Old Taxify) ni majambazi wa mchana kweupe!

    mmmhh umeshindwa vumiliaa mzee wa kutikisa dish sio vzr mnatuibia kiujanjaa.....alafu kuna wengine wanakuonesha screen shot ambayo sio root yako
  7. katima

    Paul Makonda ni mkweli, jasiri na asiyependa unafiki.

    Inasikitisha sana pale Askofu na Mh Mbowe wanapoingiza siasa ktk msiba na inajulikana kila sehemu Askofu ana kadi ya Chadema pia na tukubali tukatae wachaga hawatoi hela sehemu wanayojua hawapati faida....siku zote msema kweli ndo mbaya ila Paul Makonda alisema kitu sahihi.
  8. katima

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Kwa mimi hii mara ya 3 nakutana matukio matatu tofauti wote wana Gram 400 hii kitu kuna sinema kubwa sana[emoji1607][emoji1607][emoji1607]
  9. katima

    TAXIFY MJIPANGE SANA WATEJA WATAWAKIMBIA

    Huyo dereva alikutingishia Dishi kidogo
  10. katima

    Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Unasikia ni pusha labda jamaa wa forex 🤣🤣🤣🤣Fanya kazi Ndg upate size yako [emoji108][emoji108][emoji108]watu wana hustle haswa ninyi mkiona gari 2/3 pusha daaaa Watz tuko chini sana coz ya kutopendeana mazuri bado tuna kwanini YEYE NOT MIMI
  11. katima

    Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Sema mkuu unataka kumjua hao wote unaowasema marafiki zake wanaishi S.A si kweli hana Rafiki tofauti na family yake iliyoko hapa Da’slaam Na ni bora kuuliza ili umjue hata history yake ya maisha mpaka kufikia hapa alipo sasa...Watz inabidi tuache kuwa na selfish TUPAMBANE KUTAFUTA MAJUNGU HAYAJENGI
  12. katima

    Samsung wajifunze kwa Apple

    Haifi sema Mafundi wanajikuta wanatumia nguvu kutoa kibati cha juu ya kioo ambacho kina mkanda wa Fingerprint
  13. katima

    Samsung wajifunze kwa Apple

    Kwanza inabidi hiyo Printer iwe ina Wifi then ndo uweze print kwa kutumia Iphone yako
  14. katima

    Samsung wajifunze kwa Apple

    Sio kweli ✍️✍️✍️Simu yoyote ya Apple yenye future ya Fingerprint endapo ukibadilisha kioo inabidi urudishee ile ile sio kuwekaa tofauti So endapo ukishindwa kuirudisha ndo unakuwa mwisho wa ku Unlock kwa fingerprint NB:Tatizo la watu wanaotubadilishia vioo wengi hawafahamu kama wakimiss place...
  15. katima

    Dodoma: Mwanafunzi UDOM akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuhamasisha maandamano. Aponzwa na Mange Kimambi

    Mungu wetu sote ........ukiona mtu anashabikia vurugu ujue hana mtu au watu wanaomtegemea uko nyuma ktk familiaa .......
  16. katima

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Mdau mwenye uzi wake kweli umetisha achana na Chuki binafsi juu ya DAB hoja yako imeonesha dhahiri una chuki juu yake
Back
Top Bottom