Search results

  1. K

    Nimeona emoj za ajabu kwenye WhatsApp sms za Mke wangu, Sijui huwa anamtumia nani

    Hapo maana yake Ni kwamba tango/uume wa mpenzi wake wa nje uko vizuri Sana mpaka anamukojolesha maji ya uke., hiyo Ni alama ya kuonyesha maji vidimbwi vya maji.
  2. K

    Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru Hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM!

    Vyuo vikuu Tanzania vingi vimekuwa extended high school as per Generally Ulimwengu
  3. K

    Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru Hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM!

    Unapata muda wa kusoma masters wakati huo wewe Ni waziri na mbunge Kama siyo degree , masters za matakoni, unamupa lecture pesa unanunua cheti. Safari bado ndefu.
  4. K

    Wanaume: Jinsi ya kusonga mbele ikitokea mpenzi wako ameamua muachane

    Don't chase women, chase money. Ukiwa na chapaa za kutosha hata kama una sura ya sokwe wanakuja tu warembo wote unaowajua. Tumia muda wako mwingi kwenye kutafuta pesa siyo hawa vikojozi. Pia ukiwa nao wengi huwezi pata stress hata aliondoka Sana Sana atapunguza muda wa wewe kuongea naye. Uwe na...
  5. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hezibolla wameteketeza kambi na kikosi kizima Cha Israel https://youtu.be/MVZwqDW8Ijw?si=EUoj_KZRwVF2ClgL
  6. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Wanasema USA wanataka kuivamia ndo maana wako tayari kwa lolote.
  7. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kupigana na mtu ambaye yuko field kila siku ni kazi sana idf wengi Ni reserve hawako train kukabiliana na commandos wa hamasa, watapukutishwa Sana. Hata wanajeshi wa USA siyo wazuri kwenye face to face wanasaidiwa sana na ndege na vifaa bora walivyo navyo. Sasa IDF kwenye Urban combat...
  8. K

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Muda wake umeisha huwa Wana contract ya miaka kadhaa per BOT regulations.
  9. K

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Una uhakika uchosema bwana Pascal Mayalla angalia KADCO
  10. K

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mwezi November jumla wanajeshi zaidi ya 13,000 wa Ukraine na mamuluki wao wamekufa. Hizo roho Ni nyingi sana na bado zelesrky anataka vifaa toka Marekani. Na secretary of state amemwambia Zelensky kwamba hakuna siraha yeyote toka NATO itakayofanya maajabu kwenye uwanja wa Vita, kwani siraha za...
  11. K

    Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

    Na South Africa nako Wana chuki na Israel. Hizi dini zimefanya watu wengi kuwa na utindio wa ubongo. Yesu au mtume Mohamed hawakuwa na dini yeyote iweje Leo watu wanafia dini. Propaganda za west na utalii wa kiimani unaofanywa na Israel kumewafanya watu wengi. Especially ngozi nyeusi kupotea...
  12. K

    Je, ni kweli ukioa ndio mishe zako zinafunguka?

    90% zinafungwa kabisa 💯. Fanya research ulipo wasomi wengi wenye degrees walioowa, wengi wanaishia kuwa na kagari na kajumba ndo hapo wanasema wamewin maisha. Labda aibe uko ofisini Kama Kuna loopholes ya wizi.
  13. K

    Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

    https://youtu.be/P9-0ZBjoSDo?si=yKt4FxPCxlnYqKf2 within 20 years Israel will be wiped out from the World map. Kwa sababu ya kuongezeka technologies kwa nchi za waharabu Kama Iran. The balance of power middle East, technologia ya nuclear power hamasa or any national watakuwa nayo hivyo Israel...
  14. K

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://youtu.be/JzclzXzYbg8?si=e6ba6eEWdtsN12rW Ukraine haina wanajeshi wa kupigana wengi wamekufa waliobaki ni mamuluki toka nchi za NATO Kama Poland, UK, USA, etc.
  15. K

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    Kadco Ni Hawa jamaa hapa chini shares za uko South Ni zao
  16. K

    Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    76% wa Israel wanataka Benjamin netanyau aondoke madarakani na uchaguzi ufanyike haraka.
  17. K

    Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Siku binadamu especially mwafrica akigundua kwamba hizi dini ni changa la macho hapo ndipo akili itakapomurudia na kupata maendeleo. Bible au quaran au vitabu vingi vya dini vimekuwa msaraba death / poverty trap kwa mtu mweusi.
  18. K

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    Hizo share za South Africa Ni akina Mkapa, barozi mpungwe etc.wote hawako kwenye system ndo maana wanarundisha serikalini. Kuna watyu wametafuna pesa kwenye nchi hii, cha ajabu nao uzeeka na kufa. Akina mpungwe Sasa hivi hawezi maliza hata laki moja kwa kula, mzee sana, hata kutembea Ni shida...
  19. K

    Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

    Mara nyingi watu walioko serikalini huwa mbumbumbu sana kifikra, hivyo utumia nguvu sana kufanya mambo yao, akitokea mtu kumupinga huyo mtu huwa Ni adui number moja. Yuko tayari kuuwa ,kuumiza aonekane yuko right, mpaka leo ukipinga hoja za watawala basi wako tayari kupoteza kabisa. Mfano akina...
Back
Top Bottom