Search results

  1. A

    kwa wale tuliosoma PUGU High school

    Ni kweli Rwamwasi, Msungu, Makono na bingwa wa hesabu Teti wote tunawakumbuka. Vipi wembley bado ipo kama ilivyokuwa!
  2. A

    Star Times inaiuhujumu ITV,STAR TV na ETV..

    Jambo hili nahisi ni kweli maana si mara moja kutokea. Mimi nilidhani ni jambo linalitokea kwangu tu kumbe ni kwa watu wengi! Sina shaka hili ni jambo la kupangwa, ni hujuma mbaya ambapo wahusika wanatakiwa kuiacha hujuma hii mara moja. Inabidi wakumbuke kuwa daima bidhaa nzuri inayokidhi...
  3. A

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    Bahari imechafuka tena sana, Chimbo kinayumba sana, nahodha namtafuta simuoni. Ndugu zangu nchi inayumba kila kona, kibaya zaidi ni pale unapoona viongozi wetu hawachaguliwi kwa kuwa sababu ya uwezo wao bali mbinu zingine (200,000). Hii ni hatari kwa sababu hakuna anayesema hasa miongoni...
  4. A

    Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

    Jamani, hakika nimechoka. Nimechoka kusikia maelezo ya namna moja na kila siku ya Zanzibar kuonewa na Bara utadhani ni kweli. Kitu kikirudiwa mara nyingi na watu wasipokuwa makini wanaweza kudhani kinachosemwa ni kweli. Hapana, sasa umefika wakati tuwaruhusu hawa wenzetu wajitenge - waende...
  5. A

    Hivi Mbowe Akihamia CUF utafanya nini?

    Haya ni mambo ya siasa huna haja ya kushangaa sana,atakuwa ametimiza maamuzi yake
  6. A

    Ofisi ya CHADEMA Morogoro Mjini yafurika waombolezaji wa kifo cha Mh. Regia Mtema

    Watanzania pamoja na tofauti zetu kiitikadi, kiuchumi au kijamii tumekuwa na tutakuwa wamoja. Tuishinde mitego yote yenye nia mbaya kwa kutenda yaliyohaki mbele ya ya jamii yetu. Tuushinde ubaya kwa kutenda yaliyo mema. Abood katoa msaada kwa jamii na taasisi iliyo na itikadi tofauti na yeye...
  7. A

    Je, adhabu hii dhidi ya Yanga itadumu?

    Kuna mambo matano hapa ya kuyaangalia. Kwanza, ni kweli kwa standards zozote viongozi narudia viongozi wa Yanga walikosea kutoipeleka timu uwanjani. Naamini viongozi wa Yanga walipewa kanuni za mashindano mapema kabla mashindano hayajaanza, wakazisoma, wakazielewa wakakubali kuingia mashindanoni...
  8. A

    Je, adhabu hii dhidi ya Yanga itadumu?

    Kuna mambo manne hapa ya kuyaangalia. Kwanza, ni kweli kwa standards zozote viongozi narudia viongozi wa Yanga walikosea kutoipeleka timu uwanjani. Naamini viongozi wa Yanga walipewa kanuni za mashindano mapema kabla mashindano hayajaanza, wakazisoma, wakazielewa wakakubali kuingia mashindanoni...
Back
Top Bottom