Search results

  1. M

    Zembwela afunika kwenye Mkasi

    Hii interview nimeangalia leo nimecheka sana! Mkasi unaweza kuangalia Youtube ukiimiss. Salama naona hata hakuwa na maswali mengi maana jamaa aliwapeleka shule.
  2. M

    Je kukondeana ni dalili ya kuwa na roho mbaya...................?

    Hii ni kweli kabisa. Lakini ni generalisation tu so sio wote ni hivyo. Hayo mambo ya wivu, kutosamehe, etc. hayo yote ni dhambi tu Na mshahara wa dhambi ni...... Mwili hukosa nguvu na mtu anakuwa mgonjwa mgonjwa tu.
  3. M

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    Mkuu Kidoma, I wish you all the best, utapata tu! Watu wangapi wamepata wachumba humu JF na criteria zao zilikuwa more ridiculous kuliko huyu bwana. Naamini kuna walokole huku na hata kama watakuwa hawana criteria nyingine wajaribu tu huwezi jua...
  4. M

    Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

    Hapo kwenye red tunajuaje hiyo sensa ilikuwa sahihi? Mkoloni alikuwa na lengo gani au na uchungu gani na nchi hii kwa sisi kuamini sensa yake? Je kwenye sensa za mwanzo za mkoloni ratio zilikuwa vipi?
  5. M

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka: Usifanye kosa la "Kukuingiza kaburini"

    Akishachukua pesa zake atafute kazi nje Anaweza kukaa bongo kwa amani kweli?
  6. M

    Kuna madhara kwa mwanamke kumeza manii/shahawa?

    Sasa ukija kuoa wa namna hii na ukasafiri siku kadhaa lazima atafute "dawa" yake nje. Wengine diet zao na lifestyle zao zinasababisha hormone na other chemical imbalances nao wanapenda kutumia hiyo "dawa" Huu ni mtazamo wangu tu.
  7. M

    Hallo wenye nyumba mko?

    Kusema ukweli sijasoma, nilichukulia easy kwamba ni kujiheshimu tuu kwenye posts zangu na za wengine. Nitazipitia. Mimi nilikuwa msomaji kwa miaka mingi sasa nimeamua kuwa mchangiaji.
  8. M

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Kweli ni kichekesho. Hata Wamalawi wanajua ndio maana miaka yote hiyo walikaa kimya labda tu kutikisa kiberiti hapa na pale. Yaani hata kama ziwa lote ni la kwao hata kama walipewa kihalali sisi tunawezaje kudefend border? Lazima tugawane nusu kwa nusu. Tutumie diplomatic channels zote...
  9. M

    Hallo wenye nyumba mko?

    Ahsante sana, Huyo jamaa Urkel huwa alikuwa ananiacha hoi sana enzi zake.
  10. M

    Hallo wenye nyumba mko?

    Mi naitwa Mlamba Ndimu Ndio maana unaona sura yangu imejikunja hivyo Mi sina lolote bana Kumboli kumbonji tuuuuuuu Nini jamaaaa... haya naomba kuingia humu kwa ma great Ili nipolish skills labda ninaweza kugeuka kuwa mlamba honey! Ni hayo tu wakuu.
Back
Top Bottom