Search results

  1. M

    Hostel za mabibo kunani

    Wakuu hapa mabibo hostel kila ikifika usiku ni kwaya kwenda mbele mpaka imekuwa kero watu tunajiandaa na mtihani bac imekuwa kero tunaomba wausika wachue hatua
  2. M

    Kuwachwa kwa walimu kwenye zoezi la sensa je kutathiri matokeo ya mitiani?

    Walimu walio wengi walitegemea kushiriki ktk zoezi la sensa lakini kutokana na serekali kuwacha na kuchukuwa watu wa kada nyingind kwa kinachodaiwa ni kushiriki ktk mgomo kwa maoni yangu kama kutaathima maendeleo ya wanafunzi kwani wengi wamekata tamaa na kufundisha
Back
Top Bottom