Search results

  1. P

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Nakubaliana na wewe kiuwezo.... Lakini kuongoza nchi yetu - hatufai!
  2. P

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    Hapa Mhs Mwanakijiji unamuwiga E. Lowasa alipokuwa wanaachiya watu Uwaziri Mkuu.. Tatizo nikwamba WEWE bado tunakuhitaji hapa JF
  3. P

    Celtel = Zain Why???

    the two images milky way galaxy and Zain logo
  4. P

    Celtel = Zain Why???

    Kupoteya kwa Kunguru weupe ni ishara tosha ya kushindwa kuhimili mazingira yao - hii ni pengine kukataa kujielimisha kama wanavyofanya Kunguru weusi! Angaliya na wewe usipotele kama jina lako linavyosema...
  5. P

    Celtel = Zain Why???

    Chukulia tunaempenda, tulie mzoea na tumekua naye na tukifanya naye shughuli tofauti (That is Celtel) amekufa - na sasahivi tuna kijana mpya ndio amezaliwa; tunaanza mzoea na tutamtumia kama akitufurahisha ( That is Zain). Kinachotokeya hivisasa ni tuko katika kipindi cha huzuni cha...
  6. P

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Mwanakijiji hapa naona ulisahua kuwa "Hoja Hujibiwa kwa Hoja" hahaha
  7. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Moja ya malalamiko juu ya mfumo wa muungano wetu ni kumnyima madaraka Raisi wa Zanzibar - ambae kwa wengi wanamuona kama Maya tu wa Mkoa wa Zanzibar. Hebu naomba tukae na tulichambue hili hapa: Mfano "Kama Raisi wa Zanzibar angalikua na madaraka au katika mfumo huu wa Muungano ambao...
  8. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nirahisi sana hilo jibu lako: Wanaofaidika na Muungano ni Viongozi wa Seikali ya Mapinduzi Zanzibar wa CCM - ambao huwekwa na CCM na hua wanakua funded na CCM wakati wa uchaguzi. Wanaoumia ni Wananchi kwakua viongozi wao inabidi walipe fadhila walizo pewa. So kwa kuvunjika muungano -...
  9. P

    Mkwasi Rostam na Vodacom

    Well, HITs - (the new telekom company) one of the shareholder ni waziri ndani ya serikali ya Kikwete - kwa hio sioni kama kuna utata walichokifanya vodacom. Linalotisha kwenye hii habari kwamba Kikwete kua alikua supported and funded by Rostam Aziz! Hii ni aibu Kwasababu lakujiuliza hapo -...
  10. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kwanza kabisa alieandika ni hodari, na kujua mambo yote aliyoandika kama yanaukweli basi tosha kua ni Phd yake huyu mwadnishi. Ila hali inavyokwenda hivi sasa Tanzania, mafisadi kuweza kuvitumia vyombo vya umma na kufanikisha mambo yao - watakua walijifunza sehemu - na kutokana na huyu...
  11. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Niliokua na nalinganisha ni United Kingdom and not just Great Britain Sorry
  12. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tofauti ya US na hapa kwetu - Zanzibar ni State lakini Tanganyika State limemezwa kwenye Serikali kuu Lakuchekesha muundo wa Great Britain unautata kama ambavyo tuliokua nao hapa Tanzania: Scotland, Northern Ireland, and Wales wote wanaserikali zao zinazokaribiana na mfumo wa Zanzibar -...
  13. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hivi CUF ni chama kwaajili ya Zanzibar au Tanzania?
  14. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hata watu majumbani wakiachana wanatumia lugha hio hio - hautoweza kuishi bila mimi, wote huko watakutenga! Nchi zinakwenda sehemu kwakutizama vipi au nini watafaidika - na kama Zanzibar wanacho wanachokitaka - sizani kama watasita kufanya hivyo! Iwe kwenye masuala ya kiuchumi, ulinzi au hata...
  15. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Zaidi juu ya Muungano kutoka katika gazeti la Rai http://www.newhabari.com/rai/habari.php?id=657&section=makala
  16. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,875803-1,00.html (Angalia hii aricle kwenye gazeti la Time.) US government under President Lyndon B. Johnson (1963-1969) accorded Zanzibar a top priority in the US foreign policy, next to Vietnam and Cuba. William Attwood, the then US...
  17. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kuna maelezo kwamba Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ulikua mpango wa Uingereza na Marekani kwa kumshawishi Mwalimu Nyerere aungane na Zanzibar. Hii itasaidia Zanzibar kuwa na maamuzi ya kuwa karibu na nchi za mashariki (hususan China kwa wakati huo). Na ukitizama hamna tena mambo ya...
  18. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nafikiri ni kosa kuweka mafuta na gas kama source of Energy (under Minerals and Energy) and not Natural Resources. Wakati tunafahamu kwamba oil and gas are part of Natural resources - inakua ni sawa na kula na kipofu pale tunaposema hivi viwili vitolewe! Kama Serikali ya Muungano ipo kwa...
  19. P

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mengi yamesha anza kuibuku kwenye kivuli cha Muungano... Kwenye Mpira wa Miguu - tumemuona Mhs Shamhuna akijaribu kufunika pale ZFA walipoonesha hawaridhishi na muundo wa sasahivi! Kwenye Natural Gas and Energy hapako wazi, pamekua panapelekwa kama maji yanavyo jazwa kwenye pakacha Ulinzi...
Back
Top Bottom