Search results

  1. M

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Habari za asubuhi DAWASCO. Mimi ni mkazi wa Kinondoni Kata ya Wazo, siku za karibuni tumepata Neema ya maji katika maeneo ya Salasala. Hata hivyo waunganishaji wa mabomba ya maji hawakuunganisha vizuri kiasi cha kufanya maji kuvuja na kusambaa barabara na kuisababishia serikali hasara...
  2. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes wenyewe mbona hawatoi majibu?
  3. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically. Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729. Naomba utatuzi wa...
  4. M

    Hivi ving'amuzi Channel za nyumbani ninunue kipi?

    Hivi king'amuzi cha antena na dishi ni tofauti kwa maana kwamba haviingiliani?
  5. M

    Ukweli wangu juu ya masuala ya uchaguzi kuanzia mwaka 1995

    Ndugu wana JF habari za asubuhi, Napenda kuelezea kwa kifupi jinsi ambavyo nimekuwa nikifanya maamuzi katika chaguzi mbalimbali katika nchi yetu. Nikianza na mwaka 1995 mwaka ambao ulikuwa ni mwaka wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi urudi tena maamuzi yangu niliyofanya ilikuwa ni kumchagua...
  6. M

    Taarifa ya Mahakama kuhusu Makala ya Gazeti la Mwananchi "Mtandao wa Rushwa Mahakamani"

    Nimeshangaa mahakama ya Kawe gazeti la mwananchi kutoitembelea.
  7. M

    Balozi Amina S. Ally Jilaumu Mwenyewe Ila Ulikuwa Ndiyo Uwe Mgombea Mwenza Ila Uli POPOKA Jana

    Mnalaum bure ile hoja ndio iliyomwinua ndio maana akamshinda hata bi Asha.
  8. M

    Ajira za mahakama ya Tanzania, ambao hawakuwa kwenye orodha ya usaili wapangiwa vituo vya kazi

    Mkuu ni vizuri ungeweka list zote mbili yaani ile ya watu waliokuwa shortlisted na ile ya walioajiriwa ili sote pamoja na vyombo vinavyohusika tujue yupi ni yupi.
  9. M

    Mkopo kwa wanafunzi wa Law School

    Wakuu hakuna mwenye taarifa juu ya hili?
  10. M

    Mkopo kwa wanafunzi wa Law School

    Kufuatia marekebisho ya sheria inayohusu mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu na hivyo kuwahusisha hata watajwa hapo juu. Kwa anajua,je, wameshaanza kunufaika na marekebisho hayo au bado utaratibu haujawekwa?
  11. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Inahusisha nchi nzima we fuata tu maelekezo bila kujali upo sehemu gani ya nchi.
  12. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Ukifanya ulinganisho wa uanzishaji wa biashara nyingine utagundua kuwa gharama hii ni ndogo sana.
  13. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Ni kweli ipo poa. Na mnakaribishwa leo Ubungo Plaza kwenye uzinduzi wa kitaifa kuanzia saa 4 asubuhi hii. Kiingilio kwa kila mmoja ni namba R87288.
  14. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    UPDATES : Kutakuwa na uzinduzi wa kitaifa wa hii programm siku ya Jmosi tarehe 28/03 kuanzia saa 4 asubuhi ktk mahali ni Ubungo Plaza. Kwa mliopo wote mnakaribishwa. Kiingilio ni namba R87288. Na kwa wale waliokuwa na maswali mengi hii ni nafasi ya pekee ya kupata majibu ya maswali ya yao...
  15. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Kwa hatua hii tu inatosha kwa wanaohitaji kuweza kunitafuta na wamekuwa wakifanya hivyo.
  16. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Ndugu zangu na classmates pekee hawatoshi kwani Zantel inaoparate nchi nzima. Pia unaweza kufanya utafiti mdogo kujua ukweli maana umasikini mwingine unasababishwa na HOFU zisizo na mashiko.
  17. M

    Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Wewe huna nia. Wenye nia nawasiliana nao na wanaokuwa tayari wanaanza kazi mara moja na hivyo kujiongezea kipato. Unatumia lugha ya maudhi ili nikasirike lakini mi si mwingi wa hasira. Pengine ni kutokana na umri wako ndio maana unatumia lugha za aina hii.
Back
Top Bottom