Search results

  1. K

    Kiwango cha sukari katika bia na chai

    Naomba kuuliza wapi kuna kiwango cha sukari zaidi kati ya chai na bia. Ambacho kinaweza kuathiri kiasi kilichopo mwilini. Chukulia bia kama Tusker,Killi,Serengeti..... Ahsante.
  2. K

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Best wishes Kamanda Lema
  3. K

    Uchumi,wasomi na ajira

    Nasikia kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba shilingi ya Tz inashuka thamani na hii inatokana na kutegemea vitu kununua kutoka nje ya nchi. Vikifika nchini vinauzwa bei ya juu sana kwa kisingizio kwamba dola imepanda. JE SWALI LANGU ni kwamba HAWA ndugu zetu waliofanikiwa kusoma mpaka CHUO...
  4. K

    Afrika kusini na ajira

    Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea kwa sekta ya viwanda duniani. Kwa ninavyofahamu miaka ya nyuma vijana wengi walikuwa wanakwenda tafuta ajira huko. Naomba uliza je kwa sasa nafasi za ajira iko vipi? Zipo au hazipo,je kuna wanaokwenda tafuta ajira bado ?
Back
Top Bottom