Search results

  1. M

    Serikali yaanza ujenzi wa nyumba mpya ya Hayati Magufuli jijini Dar es Salaam kama Rais Mstaafu

    Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli. Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi. Licha kujijengea mahekalu mkoani Geita na kujijengea uwanja wa ndege huko Chato...
  2. M

    Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

    Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
  3. M

    CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

    Wewe na nani mkuu umewachoka? vipi ile ya mubashara na Tv kuanzia asubuhi hadi jioni huchoki.
  4. M

    Damu ya Lissu yawakomboa wanasingida dhidi ya shida ya maji

    baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure. Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi. Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi...
  5. M

    Rais Magufuli amjulia hali Charles Kitwanga aliyelazwa Muhimbili

    kama alivyoenda kumjulia hali lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Tusahau mradi wa bomba la mafuta si mara ya kwanza kwa Museveni

    kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ufisadi mpya wa Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo

    Wanahaha kumchafua Mama hachafuki huyu ndo kiboko wa mafisadi
  8. M

    Mhe.Freeman Mbowe akiongoza kikao cha Baraza la Uongozi la Kanda ya Ziwa Victoria kilichofanyika Leo tarehe 20.10.2018 Jijini Mwanza

    saa ya ukombozi ni sasa sumaye kuna wakati muda utamtunuku amesimama na sisi hata kama watesi wetu hawapendi
  9. M

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Kikao cha Dharura. Ni Kikao cha kuwachinjilia mbali Kubenea na Komu

    chadema mkituingiza kwenye chaguzi zitakazogharimu 3bn kwa kushindwa kutatua migogoro yenu ya ndani hatutawaelewa. fanyieni kazi hiyo clip na mjisahihishe bima kutuadhibu sisi walipa kodi
  10. M

    Tuorodheshe majina ya waliopotea au kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha

    acheni jokes it is about peoples lives
  11. M

    Je, ni salama kwa kiongozi mkuu wa nchi kufanyiwa dhihaka?

    nyie ndo mnatuharibia viongozi wetu kwa kuwafanya miungu isiyokosolewa. hakuna aliyemtukana Rais bali wanamkosoa yeye na serikali yake acheni uzombi
  12. M

    Yule kichaa aliyekuwa akipita Mikumi kwa miguu kaliwa na simba miezi 2 iliyopita

    World is not fair. Wamemwacha mpaka ameliwa na simba!
  13. M

    Wasifu (CV) ya Kamanda Simon Sirro

    1981 to 1984 He went Uru catholic seminary o level 1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary 1989 he joined UDSm where he studied Education He joined Policeforce in the early ninetees
  14. M

    Mbali na mke, kuna mwanafamilia mwingine aliyemtembelea Lissu Nairobi?

    Kuna ndugu wengi niliokutana nao wodink
  15. M

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Kwa hiyo ulichoweza kusoma hapo ni hiyo shs 100m tu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom