Search results

  1. WARRANTY OFFICER I

    INAUZWA: Mashine ndogo ya kutengeneza ice cream(portable ice cream maker)

    Ndio mkuu ila kwa small scale industry sio kushindana na Bakhresa
  2. WARRANTY OFFICER I

    INAUZWA: Mashine ndogo ya kutengeneza ice cream(portable ice cream maker)

    Mashine ndogo ya kutengeneza ice cream (portable ice cream maker) inauzwa. Mashine bado mpya full box kila kitu kipo mpaka User manuals zipo. Haijawahi kutumika. Bei 230,000TZS mazungumzo yapo. Ukiipenda njoo inbox
  3. WARRANTY OFFICER I

    Computer4Sale Samsung Laptop inauzwa (ya kipekee sana)

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkifanikiwa kuelewana mkumbuke kuni-tag
  4. WARRANTY OFFICER I

    Computer4Sale Samsung Laptop inauzwa (ya kipekee sana)

    Haina crack yoyote. Rangi ni nyeusi
  5. WARRANTY OFFICER I

    Computer4Sale Samsung Laptop inauzwa (ya kipekee sana)

    Nauza PC bei 500,000TZS.(fixed). Specifications: [emoji117]Touch screen (ina kalamu yake pia unaweza kutumia mkono) [emoji117]Ram 4GB [emoji117]Processor Intel(R) Core i5, 1.8GHz 64 bit Operating system, 64 based processor. [emoji117]HDD 128 GB. [emoji117]Unaweza kutumia Kama Tablet au...
  6. WARRANTY OFFICER I

    Hili bunge limejaa washenzi na wahuni sijapata kuliona toka tupate uhuru, Rev. Mtikila

    Hakuna kipya hapa watu wanafuga matumbo na mashavu kwa fedha za walipa kodi tu
  7. WARRANTY OFFICER I

    Udsm yawa ya 28 kwa ubora africa 2013

    Bifu na udsm sasa hilo nimeshapita leo unalileta jukwaan la nn
  8. WARRANTY OFFICER I

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Dah! mbona watu wana-react sana jaribuni kumsaidia mwenzetu hayo ni maoni yake yawezekana ni kweli au co kweli.
  9. WARRANTY OFFICER I

    Kwa wanaofurahia boom TU!!

    Hapo umenena mkuu, kwa wenyeji wa UDSM wanajua kasi ya first year katika matumizi ya pesa ila itakapofika mda pesa imekata utaona foleni ya kula RB( Rice and Beans) inaongezeka na kasi ya kunywa soda inapungua, kwa wanaoishi mabibo hostel wakati wote utaona makundi makubwa ya watu wakitembea kwa...
  10. WARRANTY OFFICER I

    Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    acha mbwembwe kaka nenda uchape kazi, usingepata nafasi ungesema secretariet ya ajira hawako fair, kutaja kiwango cha mshahara wako hapa JF ni kuleta udaku tu.
  11. WARRANTY OFFICER I

    Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    hawa wanaosoma private schools wanapata elimu kwa njia rahisi bila jasho, maana wanafundishwa vizuri, na wale wanaosoma shule za gvt wanasota sana kwa sababu vitu vingi hawavipati darasani badala yake inawabidi waende tuition, na kama wazazi hawawezi kumudu gharama za kuwalipia watoto wao ada za...
  12. WARRANTY OFFICER I

    Tangazo la HELSB lililenga kupoza joto la applicants na umma mzima tu na halikuwa genuine?

    hawa jamaa wa HESLB wanafanya kazi ya kuwapa watu pressure tu, muda waliotumia ni mrefu ilibidi mpaka sasa wawe wameshatoa list ya nani amepata na nani amekosa ili kila mtu ajue anajipanga vipi, sio kuleta stori.
Back
Top Bottom