Search results

  1. Njunwa Wamavoko

    Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    Mimi ni yule mtu anaeamini kwamba "Macbooks are the best and user friendly devices for Programmers and tech ethusiasts". Linus Torvalds, mtengenezaji wa mfumo endeshi/Kernel ya. Linux, yeye pia hutumia Macbook Air. Kama budget yako ni nzuri tafuta Macbook Pro zinazotumia Apple Silicon chips(M1...
  2. Njunwa Wamavoko

    Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    Mmemuonea lakini what if ndo anaenda chuoni, semester ijayo yupo anajiandaa kwa kutafuta details za gadgets zinazoitajika.
  3. Njunwa Wamavoko

    Backdoor: Watumiaji wa linux distribution sasa tumefikiwa

    All in All, backdoor zimekua zikiibuliwa now and then kwenye linux tools, mfano VSFTP 2.3.4 ilikua na backdoor inayoukuruhusu kuingia kwenye system ya linux kupitia port 6200. Na hii ndo teaching reference kwenye kufundisha namna ya ku run reverse shell kwenye vitabu mbali mbali. Hivo ni...
  4. Njunwa Wamavoko

    Backdoor: Watumiaji wa linux distribution sasa tumefikiwa

    Mbona kama wewe upo na Vulnerable tool maana nimesoma wana recommend ku downgrade before 5.6.0. maana 5.6.0 na 5.6.1 ndo ziko compromised
  5. Njunwa Wamavoko

    Airtel 5G Unlimited Internet

    Hii iko je mkuu? Upo mkoa gani? utaratibu wa kuungwa na hii ni upi?
  6. Njunwa Wamavoko

    New Backend: Python + Cpp , Kama security na speed ni kipaumbele chako

    vizuri sana. why Fastapi na Flask in the same project? maana anything unafanya kwa Flask unaweza kufanya kwa FastAPI except Flask haina async
  7. Njunwa Wamavoko

    New Backend: Python + Cpp , Kama security na speed ni kipaumbele chako

    Go unyama sana. Unatumia any framework/Router kama Gin, chi? Kama unafanya plain Golang bila hizo frameworks jipange kufanya boilerplate codes kama zote especiallywenye serialization ya payload kutoka na kwenda kwenye model, especially hii itakua big deal kama umetoka kwenye Frameworks e.g...
  8. Njunwa Wamavoko

    New Backend: Python + Cpp , Kama security na speed ni kipaumbele chako

    Nimefurahi kusikia watu wanafanya optimization kwenye project zao kwa c++ maana hizi story tumezoea kuziona kwa makmpuni makubwa yanayo handle traffic kubwa kama Google e.t.c. However, C++ ime undergo evolution kubwa na tunapoongea C++23 iko sokoni tayari na hi evolution inafanyika every 3years...
  9. Njunwa Wamavoko

    Serverless Service: Hizi huduma ni expensive sana hasa kwa startups

    The moment unalipia hizo services, means upo next level Lakini unaweza ku cut down prices kwa baadhi ya services Kwa nn ulipie Azure VM na Vercel for react? React inakua compiled to static files na unaweza kui save tu mpaka kwa S3 na ikaendelea ku call API yako. Technically hapa it means kama...
  10. Njunwa Wamavoko

    Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    Ili tuwekena sawa kwanza what is Uglify and what is obfuscation? and what makes them different? Do we use code uglification in Java/C# or its commonly used term in Javascrip code? https://owasp.org/www-community/controls/Bytecode_obfuscation Lakini pia sijaweza ona core logic ya eProxy kwenye...
  11. Njunwa Wamavoko

    Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    Haiwi manual process mkuu. You write code to do that for you. Nimeona mtu anaefanya hii kitu mkuu kwa codebase ya android application nzima, siongei theoretically. Nimewai lipia pia tool ya ku Obfuscate Desktop app ya Javax If you cant write code, kuna tools za kulipia kwa ajili ya hii kazi...
  12. Njunwa Wamavoko

    Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    1st approach ni ku distribute application kwa njia ya installer(application moja inaenda ina download application nyingine online na ku install), hii itafanya house keeping nyingi sana. Unaweza kucheza na registry kwenye windows ukaandika baadhi ya taarifa(hakikisha kwenye registry taarifa...
  13. Njunwa Wamavoko

    Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    Programming language yoyote inayo compile kwenda Byte Code afu byte codes zika run kwenye virtual environment kama ilivo Java kwa JVM na C# kwa .NET Framework, bas jua hiyo unaweza decompile kirahisi kabisa ukasoma logic ya activation code. Huu mchezo nimeufanya sana kwenye .jar file za Java na...
  14. Njunwa Wamavoko

    Full Stack Developer Needed

    Ulimwengu wa leo pia umeanza kuamia Remote, watu wako bongo wanafanya kazi silicon valley. Open up opportunities kwa kila mtu na kama kuna kua na necessity ya physical meeting, mtu anasafiri anakuja
  15. Njunwa Wamavoko

    EFD receipt software/App

    Hii ni huduma ya VFD sio EFD. VFD virtual Fiscal Devices inakuruhusu ku print receipt za TRA kutoka kwenye Mobile devices(Phones, Androis POS e.t.c) na sio lazima kutumia zile machine za zamani za TRA. Hii ni huduma Legit ya TRA...
  16. Njunwa Wamavoko

    Je MacBook m1 air 8/512 ni nzuri kwa software development?

    Natumia Apple Macbook Pro M1 chip 8GB RAM / 512GB SSD In my experience, naweza kufungua Jetbrains IDE mbili i.e Android Studio/Intelli J na PHPStorm kwa wakati mmoja. Nkafungua Android emulator na iOS Simulator kwa wakati mmoja. Na bado nkafungua Google chrome ikiwa na tabs kama 10 hivi, na...
  17. Njunwa Wamavoko

    Mazungumzo kati ya Mimi na Bard(Akili bandia kutoka Google)

    hii ya kuchagua mwenyewe asilimia nimeisikia leo. specifically hiyo ya kukatwa less than 15%
  18. Njunwa Wamavoko

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ease of use and Perfomance then go with Django. Kama una factors nyingine kama learning curve, Community then unaweza fikiria upande wa pili
Back
Top Bottom