Search results

  1. Mpangwa Asilia

    Hatimaye arusha tech watoa shortlist kazi kwenu wadau

    Utachaguaje 10 wakati wote 108 wanasifa?? Je yule atakayeachwa, si ndo atajua kua wale 10 wametoa rushwa??? Mie nafikiri hawa jamaa walikuwa sawa kabisa. Jambo kuu hapa ilikuwa wale wasailiwa kujichuja kwa kujua uwezo wake. Yaani angejirank kama ataweza kupambana na wale wenzake 107 waliobaki.
  2. Mpangwa Asilia

    Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

    Jamani hawa jamaa wa CUF yaani wamegoma kabisa kumpa kura Marando?? Kweli nimeamini wao nao ni kama Lyatonga Mrema (watoto wa CCM kwa nyumba ndogo). Sasa wale washikaji wetu MAFISADI mambo lainiiii.
  3. Mpangwa Asilia

    Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

    Sielewi wale wote wanaojaribu kupoteza ule ukweli wa kwamba kuna element ya ubaguzi wa rangi, hilo sioni kama ni point ya kuwaambia wana Jamii. Mimi ninachoamini ni kwamba kama kuna mtu anaona kuwa hii ni issue ya ubaguzi wa Rangi na si kweli basi na awatetee hao MAFISADI papa. Well, wasemao...
  4. Mpangwa Asilia

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    Changunua ili tuweze kuchangia vizuri. Je ni akina nani wanataka kutokomeza upinzani..., ni wapinzani wenzake au CCM? Hujaeleweka mkuu.
  5. Mpangwa Asilia

    Chemsha bongo.

    Tanzania ni nchi iliyozaliwa mwaka 1964 na tangu imeanzishwa hakuna nchi iliyowahi kuitawala.
  6. Mpangwa Asilia

    Mwana JF aaga dunia!

    Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu. Astarehe kwa amani
  7. Mpangwa Asilia

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Hii habari inaukweli mwingi sana, kwani hilo la ufisadi kupitia clearing agency lilianza tangia enzi za RUKSA. Sasa huyo mhesimiwa balozi Omar R. Mapuri anajisikia vipi kumlinda FISADI?? Halafu kumbukeni kuwa huyu ndo alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Inasikitisha!!!
  8. Mpangwa Asilia

    TAJA - Mzee Mengi haheshimu viongozi wa Zanzibar?

    Ahaaa, sijui kwanini...! Lakini lazima kuna jambo hapo ....!
  9. Mpangwa Asilia

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hivi huyu mbumbumbu anafikiri kuwa ubunge ni GENGE lake binafsi?? Hajui kuwa nayo ni kazi ya serikali?? Tena ni kati ya MIHIMILI ya nchi?? Kazi kweli kweli!!!!
  10. Mpangwa Asilia

    Serikali yamuumbua RC Mbeya

    Siasa na uongozi wa chuki hauna nafasi tena. Naamini kabisa Bwana Mwakipesile ni binadamu, hivyo hastahili kuacha watu wafe kwa njaa kwaajili tu ya mahangaiko yake ya kisiasa.
  11. Mpangwa Asilia

    Pinda: Tuhukumuni sisi, kiacheni chama, Serikali

    Nimejaribu kufuatilia kwa takribani miaka miwili hivi sijaona JK akitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya, je kuna nini?? Au ni coincidence ...? Pinda asilete usanii wa Makamba: So far ni serikali ya CCM ipo madarakani na hao viongozi wa serikali wanateuliwa na kuripoti kwenye CCM, then CCM ndio ya...
  12. Mpangwa Asilia

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    Ni ukweli mtupu ulioundika. Kwasababu hawa jamaa hawatakawia kusema kuwa wanafunzi wameharibu mali zenye thamani ya kiasi fulani, lakini kiasi hicho wala si 0.05% ya visenti au milions za waheshimiwa. Hawa wanafunzi mara moja wamewafikisha mahakamani, je vijisenti vitapelekwa lini mahakamani??
  13. Mpangwa Asilia

    UDSM: Ukweli Ni Huu

    Poleni sana kwa hayo matatizo ya kusingiziwa. Lakini kwanini mvunje mageti na vioo n.k.??? Huoni na nyie mnakuwa VIJIFISADI vyetu? Je maji yakishatoka kwenye mabweni yenu nani ataweka hivyo VIOO na mageti mliyovunja?? Je nasie wa Kimara tukikosa maji tukavunje jengo IKULU?? Kuandamana ni haki...
  14. Mpangwa Asilia

    WITO-Chenge Jiuzulu kamati ya maadili ya Chama

    Mwiba, unauhakika wa haya uliyoyaandika? Au unataka kutufurahisha na KUTUUDHI?? Au ndo unalengo la kuficha ukweli wa akina AC? Na maanisha hiyo story yako ya Jamal na Nyerere. "Mungu mlaze pema peponi mwl. Nyerere."
  15. Mpangwa Asilia

    Wana Jf Tuzipate Forms Za Mafisadi Toka Tume Ya Maadili

    Na wala si fisadi bali ni LIJIFISADI la nguvu. Haiwezekani watu wake wakafisadi yeye akatulia. Ni jambo jema sana kuzipata hizo form na ndo zitakazotupa mwanga wa jinsi gani mgonjwa huyu "TANZANIA" ni mahututi. Hima tuliokoe taifa letu tukufu.
  16. Mpangwa Asilia

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Mara chache sana migomo huleta mafanikio, bali mara nyingi sana migomo huleta mwanga wa kuonyesha mapungufu mengi kwa wanaogomewa. Ushauri binafsi, next time kabla ya kugoma leteni matatizo yenu hapa ili tuwashauri mfanye nini kutatua hayo matatizo. Kwa kuwa mmeshagoma basi inabidi mshupalie...
  17. Mpangwa Asilia

    Kikwete tangaza hali ya hatari - Kiula

    Inawezekana kuwa alikuwa FISADI, lakini ikumbukwe kua Kiula yeye naye alishughulikiwa na mkapa. Hivyo anayodai ni haki tupu, yaani nao wenzake wenye VIJISENTI vyetu washughulikiwe, tena haraka sana.
  18. Mpangwa Asilia

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Kujizulu pekee haitoshi, bali sheria ichukue mkondo wake na hivyo VIJISENTI vyetu turudishiwe. Mbona yule aliyekuwa balozi wetu Italy, prof. ..., wamemburuza mahakamani kwa VIJISENTI hivyo??? Bwana Chenge na nduguzo tunataka vijisenti vyetu tukajengee japo zahanati
  19. Mpangwa Asilia

    Best Newspaper in Bongo?

    Kwa Tanzania yetu gazeti bora ni SANI lile la miaka ya 80. Haya magazeti ya siku hizi ni usanii mtupu na huandika habari zilizopashwa moto (KIPOLO).
  20. Mpangwa Asilia

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hata kama data zisingekuwa zimetolewa na SFO, bado jamaa hana sababu ya kuzidi kututukana na VIJISENTI vyetu. Kama wapo hao wenye MAJISENTI na anawajua basi afanye lile lililojema kwa kuwaweka hadharani, ili ya kwamba tuamini kuwa hivyo vyake ni vijisenti na MAPESA yametulia pembeni.
Back
Top Bottom