Search results

  1. Ayoub Idd

    Rais ndani ya Manispaa ya Morogoro, Shule na maofisi zafungwa

    ni shiiida kweli kweli. watoto ni robo tatu ya hadhira. wanadai wamekuja kuangali taarab na ngoma za asili
  2. Ayoub Idd

    CCM Hoi jimboni kwa Mwigulu Nchemba, Wananchi wazuia msafara wa CHADEMA Njiani...

    viva CHADEMA ! asanteni kwa uhuru wa kweli
  3. Ayoub Idd

    CHADEMA Yasambaratisha CCM Iramba Mashariki

    Kwa hali niliyoiona nkungi kwenye mkutano wa CHADEMA lazima tukubali CCM wamekalia kuti kavu.
  4. Ayoub Idd

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    dah ! tutakutana mbele. mmeniacha kwenye zebra.
  5. Ayoub Idd

    Naibu Katibu Mkuu UVCCM Aimaliza CHADEMA Singida, Katibu kata Shaban Juma ahamia CCM

    Hakuna mtu anayeitwa shaban juma aliyewahikuwa katibu kata wa CHADEMA. Ni uongo mtupu, nina uhakika hakuna watu hata 10 waliohama kutoka CHADEMA na kwenda CCM huku mkalama. hii habari naibariki kuwa ya udaku halisi.
  6. Ayoub Idd

    DC Nawanda amuumbua Mwigulu mbele ya wapiga kura wake

    dah! ila Nawanda ni jembe la ukweli.
  7. Ayoub Idd

    Kitongoji cha kitumbili ( kata ya iguguno ) , iramba mashariki wote ni chadema kwa sasa.

    ukiwa mjini utaambiwa upinzani hamna vijiji, hiyo sio kweli kabisa. mfano kitongoji cha kitumbili wote mpaka na mabalozi wamehamia CHADEMA kutokana na tatizo la kidemokrasia. walimsimamisha mwenyekiti wao akarudishwa kwa mabavu na wakubwa. wazee wameomba msaada wa kufundishwa kutamka CHADEMA...
  8. Ayoub Idd

    Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

    yaani kuna vyeo vinanichanganya sana kama mwenyekiti wa wenyeviti, mi nilikuwa najua ni kikwete eti ! ? Kumbe sio ?
  9. Ayoub Idd

    Abiria afariki dunia akiwa safarini ndani ya basi

    Tuwekee picha na jina lake tafadhali !
  10. Ayoub Idd

    Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    Namkumbuka KASANGA, Naali alinikwamisha kitaaluma. MUNGU ambariki aendelee kunywa pombe sana
  11. Ayoub Idd

    Muamar Gaddafi alipenda kuvuta, coceine, whisky au pombe kali, na wake na watoto wa marais wenzake.

    Watu wanataka kutuaminisha kwamba wanajua sana mambo ya chumbani ya watu wengine.
  12. Ayoub Idd

    CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    Aliyeandika post hii ni mzushi sijawahi kuona mtu kama huyu: HOJA: 1. Mgongo haipo IRAMBA MASHARIKI 2. MWIGULU hajafanya mkutano IRAMBA MASHARIKI, pia sio mbunge wa IRAMBA MASHARIKI. 3. IRAMBA MASHARIKI hamna uchaguzi wa viti nane. 4. CCM hainyakui viti, inanyakua kwa nani ? CHADEMA ...
  13. Ayoub Idd

    Bendera ya CHADEMA yabebwa na afisa mtendaji wa kijiji (VEO), jengo lafutwa rangi

    UKIUKWAJI WA DEMOKRASIA WAFANYIKA IRAMBA MASHARIKI. Tukiwa katika mfumo wa vyama vingi bado kuna watu wana mawazo ya mfumo wa chama kimoja. Amani tuliyonayo ni lulu bado kuna watu wanaichezea tena kwa mzaha wa kitoto kabisa. Jana 01/12/2012 tukiwa kwenye tafakari ya siku ya ukimwi dunia kumbe...
  14. Ayoub Idd

    Mgana Msindai ashinda uenyekiti wa CCM mkoa wa Singida

    :lol: CHADEMA washindwe wenyewe tu! Iramba ndio muda wenu kuhukumiwa kwa kumkataa. Iguguno ilishatangaza kuwa ngome ya upinzani. Hapo kuna wapiga kura 17,0000. PEOPLESSSSSSSSSSSSS ! :eyebrows:
  15. Ayoub Idd

    Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM

    MABADILIKO HAYAZUILIKI HATA SIKU MOJA. Unaweza kuzuia kivuli kisitembee lakini huwezi kuzuia MABADILIKO.
  16. Ayoub Idd

    Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM

    USIPOKUFA LEO UTAKUFA KESHO. Haina haja kuogopa kifo hasa kufaa kishujaa.
  17. Ayoub Idd

    Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM

    WATU WANAULIZIA SANA TAREHE YA M4C WATASHUSHA MZIGO WA SERA. Hata iramba mashariki kama Iguguno, Milade, Nduguti, Kinyangiri, Ibaga.
Back
Top Bottom